Kwanini wanasiasa wetu wanaficha uongo katika lundo la data na number?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Watanzania tumekuwa wahanga wa Hesabu za number nyingi zinazosomwa kwa haraka sana.Tumewasikia wengi sana ikiwepo ktk wizara za ujenzi, nishati, etc.Sababu ni kwamba Binadamu na number wana shida sana ,ndio maana wengi walipenda kutumia graph au michoro zaidi.Ni rahisi kumchanganya mtu kwa number haswa ikiwa zinasomwa kwa haraka sana ,na pale number hizo zinahitaji machapisho mengine ya kusaidia mtu kupata uhakiki au kuhitaji kumbuka number ndefu na nyingi zilziotajwa kwa haraka ktk mfululizo wa matukio.Number zinatisha sana..watu wanaogopa sana number kihasilia..na number zinatisha.Wanasiasa wamegundua watu wa masoko wanajua ,na watapelei wanajua hilo ndio maana wote hutumia number kuuza,kuiba,kuficha ukweli au kupotosha au kuongeza bei ya vitu.
 
Kamanda umeishakunywa banana ngapi kichwani maana hata haueleweki unachoandika.
 
watanzania tuna penda numbers bt hatujui hesabu
 
Watanzania tunapenda Quantity badala ya Quality.
 
Mbaya number hata ikimaanisha quantity au quality zinachanganya sana...wamarekani wanajua hilo wanapoongelea Pound na KG.Number zinachanganya..na mara nyingine huwachanganya hata wanaozitaja na kuziweka kwa mbwembwe.Muhongo alipanda ktk mdahalo akataja number za wendawazimu...alipima kwa dar es salaam kadhaa, Ambazo jumla zake zinaweza maanisha kwamba bahari yetu imefika south africa.Magufuli alitumia number kutisha watu sana..ktk number zake alizitaja kwa haraka hadi watuw akaogopa.Jamaa wa marketing nao huwa waatumia number kupotosha watu wasio na njia ya kuthibitisha au kupima..wenzetu huwa wanataja number na na ulinganifu wake.
 
watanzania tuna penda numbers bt hatujui hesabu
Number zinatisha: HAta ktk pesa watu wanazipenda ila wanaziogopa,wanaziogopa km wanavyoogopa kuhoji kuhusu Mungu.Ndio maana kuambiwa bilionea au triolenea kunaweza kupoteza ukweli kwa kitu km ni ktk dolla au hela ya uganda au ya zaire au ya TZ?Manasiasa wanaweza punguza makali ya hela kwa kutaja wizi wao ktk dollar ili wananchi waone ni kidogo.Halafu wakataja miradi ktk tsh na kwa hela ya chini ili number isikike na kusema km number kubwa sana...yaani wanaweza kuambia shillingi billion 2,000 badala ya trillion ili waonekane ni nyingi.
 
Kamanda umeishakunywa banana ngapi kichwani maana hata haueleweki unachoandika.
Bakora za Magufuli si mchezo kamanda hoi!

Ana sahau kuwa hata Dr.W.Slaa hutumia takwimu kuwadanganya watanzania lakini uzuri hawakuwai kumkubalia kabisa...
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tumekuwa wahanga wa Hesabu za number nyingi zinazosomwa kwa haraka sana.Tumewasikia wengi sana ikiwepo ktk wizara za ujenzi, nishati, etc.Sababu ni kwamba Binadamu na number wana shida sana ,ndio maana wengi walipenda kutumia graph au michoro zaidi.Ni rahisi kumchanganya mtu kwa number haswa ikiwa zinasomwa kwa haraka sana ,na pale number hizo zinahitaji machapisho mengine ya kusaidia mtu kupata uhakiki au kuhitaji kumbuka number ndefu na nyingi zilziotajwa kwa haraka ktk mfululizo wa matukio.Number zinatisha sana..watu wanaogopa sana number kihasilia..na number zinatisha.Wanasiasa wamegundua watu wa masoko wanajua ,na watapelei wanajua hilo ndio maana wote hutumia number kuuza,kuiba,kuficha ukweli au kupotosha au kuongeza bei ya vitu.

wakati wenzako wanasoma no,wewe ulikuwa unangangana na vitubua
pole sana ulivuna ulichopanda ndo maana unazani kila takwinu iliyoko kwenye no ni uongo sio kweli bali udhaifu wako ndo tatizo,
kapumzike leo umeangaika sana humu mpaka unaboa.

Mbaya number hata ikimaanisha quantity au quality zinachanganya sana...wamarekani wanajua hilo wanapoongelea Pound na KG.Number zinachanganya..na mara nyingine huwachanganya hata wanaozitaja na kuziweka kwa mbwembwe.Muhongo alipanda ktk mdahalo akataja number za wendawazimu...alipima kwa dar es salaam kadhaa, Ambazo jumla zake zinaweza maanisha kwamba bahari yetu imefika south africa.Magufuli alitumia number kutisha watu sana..ktk number zake alizitaja kwa haraka hadi watuw akaogopa.Jamaa wa marketing nao huwa waatumia number kupotosha watu wasio na njia ya kuthibitisha au kupima..wenzetu huwa wanataja number na na ulinganifu wake.

inaoneka wewe number ni dhaifu then unazani na wenzako wako hivyo,na kwanini unafikiri magufuli anatumia namber kuwadanganya watu? na unahuakika gani? hizo hoja zako hazina maana ,usizani wabunge wote hawajui number,
 
wakati wenzako wanasoma no,wewe ulikuwa unangangana na vitubua pole sana ulivuna ulichopanda ndo maana unazani kila takwinu iliyoko kwenye no ni uongo sio kweli bali udhaifu wako ndo tatizo,kapumzike leo umeangaika sana humu mpaka unaboa.
Naongelea zilizo uongo au zilizo ktk hali ambazo ni rahisi kupotosha tafsiri....kakojoe ulale km km huwezi elewa nini unachangia.
 
inaoneka wewe number ni dhaifu then unazani na wenzako wako hivyo,na kwanini unafikiri magufuli anatumia namber kuwadanganya watu? na unahuakika gani? hizo hoja zako hazina maana ,usizani wabunge wote hawajui number,
hongera km wewe uziogopi na unadhani kwamba mimi kuwa dhaifu basi hakutakuwa na wengi sana nao ni dhaifu...ila ktk number wanaganganywa sana watu ...hata wanaoishi na number na kupeleka kono kinywani kwa number nao hupigwa changa la macho...smarket za wenzetu zote zina bei km hivi 999.99, makampuni huwakilisha hesabu kwa namna ambayo na mahali ambapo wenye hisa hupoteza umakini na kudhani kuna faida sana.
 
pumba katika ubora wake.

Watanzania tumekuwa wahanga wa Hesabu za number nyingi zinazosomwa kwa haraka sana.Tumewasikia wengi sana ikiwepo ktk wizara za ujenzi, nishati, etc.Sababu ni kwamba Binadamu na number wana shida sana ,ndio maana wengi walipenda kutumia graph au michoro zaidi.Ni rahisi kumchanganya mtu kwa number haswa ikiwa zinasomwa kwa haraka sana ,na pale number hizo zinahitaji machapisho mengine ya kusaidia mtu kupata uhakiki au kuhitaji kumbuka number ndefu na nyingi zilziotajwa kwa haraka ktk mfululizo wa matukio.Number zinatisha sana..watu wanaogopa sana number kihasilia..na number zinatisha.Wanasiasa wamegundua watu wa masoko wanajua ,na watapelei wanajua hilo ndio maana wote hutumia number kuuza,kuiba,kuficha ukweli au kupotosha au kuongeza bei ya vitu.
 
Shida ya Nicholaus unafikiria vitu ambazo wananchi wengi hawajaanza kufikiri. Ndio hawakuelewi
 
Last edited by a moderator:
Kamanda umeishakunywa banana ngapi kichwani maana hata haueleweki unachoandika.
Km huwezi kadiria nikikuambia nitakuwa km natumia hizo number kukuburuza,kukutapeli au kuficha uongo..hutokuwa na uwezo wa kujua usashihi au makosa yake.Pole kilaza wewe.
 
Back
Top Bottom