Kwanini wanasiasa wengi hawana ndoa imara?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Nimevutiwa sana na familia ya Obama nikajaribu kufukua kufukua baadhi ya ndoa za wanasiasa nimegundua wanasiasa wengi hawana stable marriages na wengine hawajaoa kabisa au wanamichepuko mingi kupita kiasi.

Tatizo nini?
 
Nimevutiwa sana na familia ya Obama nikajaribu kufukua kufukua baadhi ya ndoa za wanasiasa nimegundua wanasiasa wengi hawana stable marriages na wengine hawajaoa kabisa au wanamichepuko miiingi kupita kiasi. Tatizo nini?

Unafahamu kama Obama na mke wake wametengana vyumba? Au unaandika tu kuosha mdomo?
 
Kumbuka kuwa wengi unaowaona kama family roll model, wengine wanakuwa pamoja for public interest lakini kila mmoja ana maisha yake.
 
Hahahahahahaa niliumia sana niliposikia juzi kuwa Kiongozi mmoja wa Magamba kaachwa na mke wake wa ndoa, mtoto wa Askari Mstaafu kashindwa na uzinzi wa mumewe kaamua kuondoka!

Hivi imeishia wapi zile milioni arobaini za michango ya harusi?
 
dr slaa hizo ndiyo zake kubeba wamama mgongoni.
 
hahahaaa wanapeleka siasa kwenye ndoa sio.. mambo hayaendi hivyo.
 
Kumbuka kuwa wengi unaowaona kama family roll model, wengine wanakuwa pamoja for public interest lakini kila mmoja ana maisha yake.

so mnataka tuamini mwanasiasa yoyote sio husband material
 
Sasa si bora mwanaume anayebeba wamama mgongoni kuliko magamba mnaobeba wanaume wenzenu mgongoni....!!!
ha ha ha ha i like it.......jibu sahihi kwa swali lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…