Kwanini wananchi wana Imani na Lowassa au Dr. Slaa?

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
Ndugu Watanzania wenzangu
Ndugu Watia nia
Ndugu wenye mihemko mizito ya kisiasa ..
Wekeni makundi pembeni, jazba pembeni, chuki-Binafsi pembeni tujadili fact walizonazo wananchi.

Kusema tu kuna Mtu anakata jina la Mtu wakati jina Hilo LIKO Kwenye mioyo ya Watanzania Ni Nia madhubuti Na wazi ya kuliingiza Taifa Kwenye Machafuko au Udikteta ambao historia zinaelezea Mwisho wake huwa si Mzuri.

Kuna watu kidogo huwa wanajisahau au Kwa Sababu ya ulevi wa madaraka au nafasi zao Na wanaamini Watanzania Ni wa kupelekewa chochote na kupiga Kura wapige ila goli la Mkono lazma.

NASEMA maneno haya Kwa Uchungu mno. Kwamba katika historia ya maisha ya Kiongozi flani wa Tanzania Nchi ilipasuka Kwa maksudi Yake.

Jina halikatwi Kwenye makaratasi Bali linakatwa Kwenye mioyo ya wananchi. Ukifanikiwa kulikata Kwenye mioyo ya wananchi umelikata daima. Jina halikatwi Kwa kauli chafu Za vitisho Na kuwasumbua watanzania.

Watanzania wana Imani Na watu Hawa wawili Kwa Sasa kwa Sababu ya Historia Za Utendaji KaZi Wao. HILO Tu. Kuna kipindi wakati wa maisha ya mtume Issa, wakristo wanamwita Yesu, wananchi walimuuliza mtume huyu, Je twawezaje kuwatambua watu wazuri miongoni mwetu, huyo mtume akawajibu angalieni matendo yao, yaani rekodi Za Kazi zao.

Watanzania wanajua rekodi Za watu Hawa Vema kabisa. rekodi zao Zipo Na zinaeleweka. Na Kama miongoni mwa wagombea kuna Mwenye rekodi ya Utendaji ya ujasiri isinge jificha.

Wananchi wanaamini Hakuna jipya la muujiza kwa Mtu ambaye Alikuwa bogus, Kama Hana rekodi ya kijasiri ya KaZi yake leo akapewa ukuu wa Nchi atikwamba miujiza ifanyike awe mchapakazi hicho kitu hakipo. Jiwe ni jiwe liwe Kwenye Maji au Nchi kavu.

Hakuna ANAYE sema Dr Slaa Ni msafi 100% au Lowassa ni msafi 100%, Ni wanadamu wana mapungufu Yao na tunachagua Raisi wa Nchi sio malaika nchini. Tukumbuke kuheshimu Demokrasia Yetu, Uzalendo Na uwajibikaji na Mapenzi ya Kweli ya nchi Tanzania. Ambaye anadhani Ni msafi kuliko wote asimame ahesabiwe..!

Kipindi hiki Ni Cha Muhimu, Raisi Wetu amefanya KaZi kubwa Kwa Uwezo MwenyeZi Mungu alomjalia. Kuna watu wanamtukana matusi MAZITO sana ya waziwazi. Kusema Kwamba Kati ya wagombea kuna mafisadi Na Wezi, hao mafisadi Na Wezi wame-exist Kwenye Utawala Gani? Au wanataka kutueleza Kwamba Rais Wetu aliwaona Wezi Na kuwamezea, Hii Ni ngumu kuamini Na Ngumu kumeza. Raisi Ni Mtu makini Na anaongoza Nchi Kwa mujibu wa Roho ya Nchi ambayo ni roho ya Watanzania. Mie naamini Raisi hawezi kujiweka Kwenye rekodi ya kuiingiza Nchi Kwenye matatizo.

Na Nyie ambao mnapita kuchafua wagombea ndio mnawasafisha zaidi. membe ni Waziri wangu, Ni Mtu Mzuri tu, Pinda Ni waziri Wetu mkuu, iweje awe Mtu mbaya, Lowasa Ni Mbunge wa watu wengi Na aliwahi Kuwa waziri Mkuu Ni Mtu Mzuri, wagombea wote ni watu wazuri, ACHENI vikao vifanye KaZi zao Na sisi wananchi tufanye yetu. Acheni Kutukana wagombea. Wangekuwa wachafu Mahakama zingesha wahukumia jinai.

Tuache kujifanya Mahakama, tuache Michemko, tuache Ujinga. Nchi inaongozwa Na MwenyeZi Mungu .
 
Lwasa yupo kwenye kichwa cha mkeo, mkeo ndo ana imani na lwasa, sio wananchi! Usi-force mambo kama imebuma imebuma tuu, keshakatwa hadi vidole usitafute huruma hapa!
 
Kwa sababu lowasa ni bora kuliko Mtume,chanzo humuhumu jf
 
Lwasa yupo kwenye kichwa cha mkeo, mkeo ndo ana imani na lwasa, sio wananchi! Usi-force mambo kama imebuma imebuma tuu, keshakatwa hadi vidole usitafute huruma hapa!

Tatizo hujaweka fact umelipuka Na kutukana..! Unadhani mgombea wako atashinda Kwa kilo hizi Za matusi?
 
wewe facts zako umezitoa wapi kuwa wananchi wana imani naye?
Pole kama dawa yauma ila acha iingie tuu!
 
labda km kuna maana nyingine ya WANANCHI! Kila nipitako wanajua lowasa ni jambazi sugu na fisadi papa. Wanajua aliileta na kuitetea kwa nguvu zote na kwa ubabe na bila kufuata taratibu kampuni ya richmond ambayo haikuwa na fedha, ofisi, uzoefu wala mtaji wa kuweza kufua umeme.
..."Kutafuta mgombea safi ndani ya ccm ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi"
 
Ndugu Watanzania wenzangu
Ndugu Watia nia
Ndugu wenye mihemko mizito ya kisiasa ..
Wekeni makundi pembeni, jazba pembeni, chuki-Binafsi pembeni tujadili fact walizonazo wananchi.

Kusema tu kuna Mtu anakata jina la Mtu wakati jina Hilo LIKO Kwenye mioyo ya Watanzania Ni Nia madhubuti Na wazi ya kuliingiza Taifa Kwenye Machafuko au Udikteta ambao historia zinaelezea Mwisho wake huwa si Mzuri. Kuna watu kidogo huwa wanajisahau au Kwa Sababu ya ulevi wa madaraka au nafasi zao Na wanaamini Watanzania Ni wa kupelekewa chochote na kupiga Kura wapige ila goli la Mkono lazma.

NASEMA maneno haya Kwa Uchungu mno. Kwamba katika historia ya maisha ya Kiongozi flani wa Tanzania Nchi ilipasuka Kwa maksudi Yake. Jina halikatwi Kwenye makaratasi Bali linakatwa Kwenye mioyo ya wananchi. Ukifanikiwa kulikata Kwenye mioyo ya wananchi umelikata daima. Jina halikatwi Kwa kauli chafu Za vitisho Na kuwasumbua watanzania.

Watanzania wana Imani Na watu Hawa wawili Kwa Sasa kwa Sababu ya Historia Za Utendaji KaZi Wao. HILO Tu. Kuna kipindi wakati wa maisha ya mtume Issa, wakristo wanamwita Yesu, wananchi walimuuliza mtume huyu, Je twawezaje kuwatambua watu wazuri miongoni mwetu, huyo mtume akawajibu angalieni matendo yao, yaani rekodi Za Kazi zao.

Watanzania wanajua rekodi Za watu Hawa Vema kabisa. rekodi zao Zipo Na zinaeleweka. Na Kama miongoni mwa wagombea kuna Mwenye rekodi ya Utendaji ya ujasiri isinge jificha.

Wananchi wanaamini Hakuna jipya la muujiza kwa Mtu ambaye Alikuwa bogus, Kama Hana rekodi ya kijasiri ya KaZi yake leo akapewa ukuu wa Nchi atikwamba miujiza ifanyike awe mchapakazi hicho kitu hakipo. Jiwe ni jiwe liwe Kwenye Maji au Nchi kavu.

Hakuna ANAYE sema Dr Slaa Ni msafi 100% au Lowassa ni msafi 100%, Ni wanadamu wana mapungufu Yao na tunachagua Raisi wa Nchi sio malaika nchini. Tukumbuke kuheshimu Demokrasia Yetu, Uzalendo Na uwajibikaji na Mapenzi ya Kweli ya nchi Tanzania. Ambaye anadhani Ni msafi kuliko wote asimame ahesabiwe..!

Kipindi hiki Ni Cha Muhimu, Raisi Wetu amefanya KaZi kubwa Kwa Uwezo MwenyeZi Mungu alomjalia. Kuna watu wanamtukana matusi MAZITO sana ya waziwazi. Kusema Kwamba Kati ya wagombea kuna mafisadi Na Wezi, hao mafisadi Na Wezi wame-exist Kwenye Utawala Gani? Au wanataka kutueleza Kwamba Rais Wetu aliwaona Wezi Na kuwamezea, Hii Ni ngumu kuamini Na Ngumu kumeza. Raisi Ni Mtu makini Na anaongoza Nchi Kwa mujibu wa Roho ya Nchi ambayo ni roho ya Watanzania. Mie naamini Raisi hawezi kujiweka Kwenye rekodi ya kuiingiza Nchi Kwenye matatizo.

Na Nyie ambao mnapita kuchafua wagombea ndio mnawasafisha zaidi. membe ni Waziri wangu, Ni Mtu Mzuri tu, Pinda Ni waziri Wetu mkuu, iweje awe Mtu mbaya, Lowasa Ni Mbunge wa watu wengi Na aliwahi Kuwa waziri Mkuu Ni Mtu Mzuri, wagombea wote ni watu wazuri, ACHENI vikao vifanye KaZi zao Na sisi wananchi tufanye yetu. Acheni Kutukana wagombea. Wangekuwa wachafu Mahakama zingesha wahukumia jinai.

Tuache kujifanya Mahakama, tuache Michemko, tuache Ujinga. Nchi inaongozwa Na MwenyeZi Mungu .

acha " fallacy of generalization " kusema kwanini wananchi wana imani na lowassa na badala yake nadhani ulitakiwa tu useme kwanini lowassa anapendwa na wanafiki, wapuuzi ( mapoyoyo ) na mafisadi kama wewe mleta mada? mziki ataanza kuuona alhamisi ambapo kaburi litachimbwa na jumapili mtu anazikwa na sijui wanafiki nyie mtaficha wapi hiyo " minyago " ( sura ) zenu kwa aibu.
 
Ndugu Watanzania wenzangu
Ndugu Watia nia
Ndugu wenye mihemko mizito ya kisiasa ..
Wekeni makundi pembeni, jazba pembeni, chuki-Binafsi pembeni tujadili fact walizonazo wananchi.

Kusema tu kuna Mtu anakata jina la Mtu wakati jina Hilo LIKO Kwenye mioyo ya Watanzania Ni Nia madhubuti Na wazi ya kuliingiza Taifa Kwenye Machafuko au Udikteta ambao historia zinaelezea Mwisho wake huwa si Mzuri. Kuna watu kidogo huwa wanajisahau au Kwa Sababu ya ulevi wa madaraka au nafasi zao Na wanaamini Watanzania Ni wa kupelekewa chochote na kupiga Kura wapige ila goli la Mkono lazma.

NASEMA maneno haya Kwa Uchungu mno. Kwamba katika historia ya maisha ya Kiongozi flani wa Tanzania Nchi ilipasuka Kwa maksudi Yake. Jina halikatwi Kwenye makaratasi Bali linakatwa Kwenye mioyo ya wananchi. Ukifanikiwa kulikata Kwenye mioyo ya wananchi umelikata daima. Jina halikatwi Kwa kauli chafu Za vitisho Na kuwasumbua watanzania.

Watanzania wana Imani Na watu Hawa wawili Kwa Sasa kwa Sababu ya Historia Za Utendaji KaZi Wao. HILO Tu. Kuna kipindi wakati wa maisha ya mtume Issa, wakristo wanamwita Yesu, wananchi walimuuliza mtume huyu, Je twawezaje kuwatambua watu wazuri miongoni mwetu, huyo mtume akawajibu angalieni matendo yao, yaani rekodi Za Kazi zao.

Watanzania wanajua rekodi Za watu Hawa Vema kabisa. rekodi zao Zipo Na zinaeleweka. Na Kama miongoni mwa wagombea kuna Mwenye rekodi ya Utendaji ya ujasiri isinge jificha.

Wananchi wanaamini Hakuna jipya la muujiza kwa Mtu ambaye Alikuwa bogus, Kama Hana rekodi ya kijasiri ya KaZi yake leo akapewa ukuu wa Nchi atikwamba miujiza ifanyike awe mchapakazi hicho kitu hakipo. Jiwe ni jiwe liwe Kwenye Maji au Nchi kavu.

Hakuna ANAYE sema Dr Slaa Ni msafi 100% au Lowassa ni msafi 100%, Ni wanadamu wana mapungufu Yao na tunachagua Raisi wa Nchi sio malaika nchini. Tukumbuke kuheshimu Demokrasia Yetu, Uzalendo Na uwajibikaji na Mapenzi ya Kweli ya nchi Tanzania. Ambaye anadhani Ni msafi kuliko wote asimame ahesabiwe..!

Kipindi hiki Ni Cha Muhimu, Raisi Wetu amefanya KaZi kubwa Kwa Uwezo MwenyeZi Mungu alomjalia. Kuna watu wanamtukana matusi MAZITO sana ya waziwazi. Kusema Kwamba Kati ya wagombea kuna mafisadi Na Wezi, hao mafisadi Na Wezi wame-exist Kwenye Utawala Gani? Au wanataka kutueleza Kwamba Rais Wetu aliwaona Wezi Na kuwamezea, Hii Ni ngumu kuamini Na Ngumu kumeza. Raisi Ni Mtu makini Na anaongoza Nchi Kwa mujibu wa Roho ya Nchi ambayo ni roho ya Watanzania. Mie naamini Raisi hawezi kujiweka Kwenye rekodi ya kuiingiza Nchi Kwenye matatizo.

Na Nyie ambao mnapita kuchafua wagombea ndio mnawasafisha zaidi. membe ni Waziri wangu, Ni Mtu Mzuri tu, Pinda Ni waziri Wetu mkuu, iweje awe Mtu mbaya, Lowasa Ni Mbunge wa watu wengi Na aliwahi Kuwa waziri Mkuu Ni Mtu Mzuri, wagombea wote ni watu wazuri, ACHENI vikao vifanye KaZi zao Na sisi wananchi tufanye yetu. Acheni Kutukana wagombea. Wangekuwa wachafu Mahakama zingesha wahukumia jinai.

Tuache kujifanya Mahakama, tuache Michemko, tuache Ujinga. Nchi inaongozwa Na MwenyeZi Mungu .

Unadhani mwenye pesa aliyefisadi hii nchi aliwahi kufungwa/ kuhukumiwa lini?
Mfumo wa mahakama za Tanzania unadhan wapo huru kuendesha kesi za wakubwa na kutoa fair judgement?
Mafisadi wanajulikana ila kwa mfumo wa Utawala uliopo ukiisubiri Mahakama utakufa bila kushuhudia hilo...
Unadhani wanaosemwa ufisadi wanasingiziwa wakati wanaotajana wanafahamiana kuliko mwananchi alie nje ya huo mfumo...
 
Ma Presdent is Lowassa God bless Him
 
Ndugu Watanzania wenzangu
Ndugu Watia nia
Ndugu wenye mihemko mizito ya kisiasa ..
Wekeni makundi pembeni, jazba pembeni, chuki-Binafsi pembeni tujadili fact walizonazo wananchi.

Kusema tu kuna Mtu anakata jina la Mtu wakati jina Hilo LIKO Kwenye mioyo ya Watanzania Ni Nia madhubuti Na wazi ya kuliingiza Taifa Kwenye Machafuko au Udikteta ambao historia zinaelezea Mwisho wake huwa si Mzuri. Kuna watu kidogo huwa wanajisahau au Kwa Sababu ya ulevi wa madaraka au nafasi zao Na wanaamini Watanzania Ni wa kupelekewa chochote na kupiga Kura wapige ila goli la Mkono lazma.

NASEMA maneno haya Kwa Uchungu mno. Kwamba katika historia ya maisha ya Kiongozi flani wa Tanzania Nchi ilipasuka Kwa maksudi Yake. Jina halikatwi Kwenye makaratasi Bali linakatwa Kwenye mioyo ya wananchi. Ukifanikiwa kulikata Kwenye mioyo ya wananchi umelikata daima. Jina halikatwi Kwa kauli chafu Za vitisho Na kuwasumbua watanzania.

Watanzania wana Imani Na watu Hawa wawili Kwa Sasa kwa Sababu ya Historia Za Utendaji KaZi Wao. HILO Tu. Kuna kipindi wakati wa maisha ya mtume Issa, wakristo wanamwita Yesu, wananchi walimuuliza mtume huyu, Je twawezaje kuwatambua watu wazuri miongoni mwetu, huyo mtume akawajibu angalieni matendo yao, yaani rekodi Za Kazi zao.

Watanzania wanajua rekodi Za watu Hawa Vema kabisa. rekodi zao Zipo Na zinaeleweka. Na Kama miongoni mwa wagombea kuna Mwenye rekodi ya Utendaji ya ujasiri isinge jificha.

Wananchi wanaamini Hakuna jipya la muujiza kwa Mtu ambaye Alikuwa bogus, Kama Hana rekodi ya kijasiri ya KaZi yake leo akapewa ukuu wa Nchi atikwamba miujiza ifanyike awe mchapakazi hicho kitu hakipo. Jiwe ni jiwe liwe Kwenye Maji au Nchi kavu.

Hakuna ANAYE sema Dr Slaa Ni msafi 100% au Lowassa ni msafi 100%, Ni wanadamu wana mapungufu Yao na tunachagua Raisi wa Nchi sio malaika nchini. Tukumbuke kuheshimu Demokrasia Yetu, Uzalendo Na uwajibikaji na Mapenzi ya Kweli ya nchi Tanzania. Ambaye anadhani Ni msafi kuliko wote asimame ahesabiwe..!

Kipindi hiki Ni Cha Muhimu, Raisi Wetu amefanya KaZi kubwa Kwa Uwezo MwenyeZi Mungu alomjalia. Kuna watu wanamtukana matusi MAZITO sana ya waziwazi. Kusema Kwamba Kati ya wagombea kuna mafisadi Na Wezi, hao mafisadi Na Wezi wame-exist Kwenye Utawala Gani? Au wanataka kutueleza Kwamba Rais Wetu aliwaona Wezi Na kuwamezea, Hii Ni ngumu kuamini Na Ngumu kumeza. Raisi Ni Mtu makini Na anaongoza Nchi Kwa mujibu wa Roho ya Nchi ambayo ni roho ya Watanzania. Mie naamini Raisi hawezi kujiweka Kwenye rekodi ya kuiingiza Nchi Kwenye matatizo.

Na Nyie ambao mnapita kuchafua wagombea ndio mnawasafisha zaidi. membe ni Waziri wangu, Ni Mtu Mzuri tu, Pinda Ni waziri Wetu mkuu, iweje awe Mtu mbaya, Lowasa Ni Mbunge wa watu wengi Na aliwahi Kuwa waziri Mkuu Ni Mtu Mzuri, wagombea wote ni watu wazuri, ACHENI vikao vifanye KaZi zao Na sisi wananchi tufanye yetu. Acheni Kutukana wagombea. Wangekuwa wachafu Mahakama zingesha wahukumia jinai.

Tuache kujifanya Mahakama, tuache Michemko, tuache Ujinga. Nchi inaongozwa Na MwenyeZi Mungu .

hakuna anayemtaka Lowassa wa Slaa-sema watu wa Kasikazin mna Agenda yenu ya piga ua Rais lazima atoke kwenu na hapo tofauti za vyama na siasa mnaweka pemben na ndio maana mnataka kutuamnisha kuwa Watanzania ndivyo wanataka
 
Kama jina limeingizwa kwenye mioyo ya watu kwa nguvu kwa kutumia pesa kwa nini lisikatwe?
 
Back
Top Bottom