Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa


unawafundisha kaz mod too low
 


PUMBA TU!

Kwa taarifa yako Hata Samwel Sitta alikwishawaambia kuwa Dr Slaa ndiye mtu wa kuogopwa katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
slaa hawezi kuwa rais kwanza ni mzinzi pia hana uzoefu na mambo ya siasa za kimataifa he is just local politician asiye na msaada kwa watanzania.....

ndo walewale,! Dont speak of personalities, talk issues,

tukianza kuangalia personalities hakuna atakayesimama
 
...kwanini wamwita Dr.Slaa padri wakati alishaacha nadhiri ya upadri?.una agenda ya udini na hiyo ndio kete ya ccm 2015.Hauna hoja na hoja zako peleka kwa mkeo.
 
Magamba tayari wamesha-panic, na bado mziki ni kuanzia kwenye ile katiba ya Sita tutakavyoipiga down.
 
Hhaahahahahahah...kumbe wewe ni nanihiiiiii...lol
 
ukishamdharau Dr.slaa tu unaniharibia siku.Huyu mzee akiingia ikulu tu,Heshima ya Tz inarudi.Hakuna mkataba mbovu utakubalika tena.hakuna mjinga atakwepa kulipa kodi tena.rasilimali zitanufaisha Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…