Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

Mwaka.2016 ni.madongo kwa kwenda mbele kwa maduu! bandika bandua.......wanaume tumechoka kulea pimbi
 
aisee bora kulima kuliko mapenzi... yaani majukumu yanajaa makontana yaliyotoweka.
 
Kama kuna watu wapumbavu duniani basi ni baaadhi ya wamnaume, hawa wanawake tunaowaponda kila siku mitandaoni bila wao leo tusingekuwa hapa tulipo leo
Unakunywa soda gani bro Mshana...! Wanaotka mauno hata kupiga ngma hawawez.. utawackia wanahema tu kama bata.. haa haa.. na mineno kibao nak... j.. a.. c unye kabisa tujue moja..!
 
Mwaka.2016 ni.madongo kwa kwenda mbele kwa maduu! bandika bandua.......wanaume tumechoka kulea pimbi

Sie wenyewe tumechoka " kunenepesha shetani wakati kiti anakonda" Droo game msilie! Unayoyataka kufanyiwa mwelekeze dem wako akufanyie!
 
Wanatubeba tumboni miezi tisa
Wanatunyonyesha udogoni
Wanatuogesha na kututunza mpaka tunajitambua
~~~~tukishaanza kuota za chini tunajiona vidume na kuanza kuleta madharau Kama haya ~~~
Mkuu mbona povu linakutoka?.

Tusiseme ukweli kisa wametuzaa?.

Uwepo wakila binadamu ni mapenzi ya Mungu na si wanawake kama unavyodhani.

Na ndio mana wanawake wengine wanafanya abortion lakini mimba zinakataa kutoka,wanajifungua huku wakiwa hawajaridhia.

Kama unahisi nidharau, basi hakuna haja ya wao kulalamika humu sijui kuna wanaume wanavibamia,sijui wanaume wananuka p....mb.Kwako hizi sio dharau bali wanapaswa kusema kwakuwa wao wametuzaa?.

Sio lazima kila binadamu afikiri namna ambavyo wewe unataka,jifunze kuheshimu mawazo yawatu wengine.
 
Huyo mwanamke wako mmoja ana mapungufu yote hayo ...basi ni shida.
Hakuna mwanamke mwenye mapungufu yote hayo,lakini angalia mapungufu yako wewe yapo wapi kati ya hayo.

Na kama hamna hata moja basi hongera.
 
Kuna watu yaani wao siku zote wako kujipendekeza upande flani wa ke. Nahisi huwa wanamslahi flani si bure...na hao watu ukichunguza comment zao zote ziko kutetea ke.

Kwenye ukweli lazima waambiwe...
Kuna member mmoja anadai tusiwambie ukweli kisa wametuzaa.

Pole yake.
 
Mhuu!
Wanawake Mnakazi Sana
Ahsante Munug Kwa Kuniumba Mwanaume Mwenye Dushele Tofauti Na Hapo Ningekuwa Naanzishiwa Maada Kila Kukicha Na Wana Jf!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…