Kwanini wanafunzi wakae chini ilihali tu matajiri wa misitu?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
385
Nimerudi wana jamvi,

Naona ajabu wanafunzi wetu hasa wa shule za msingi kukaa chini wakati nchi yetu ni tajiri wa misitu ya mbao kuanzia ya asili hadi ya kupanda, kiasi kwamba tunasafirisha mbao nje ya nchi, haya ni maajabu ya Musa na mwenzie Firauni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom