Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,174
- 30,655
Quran ilisha haribu akili yako, huwezi kufikiri nje ya hapo.Vijana kueni kiakili na kufikiria, unaposema "Kwa sababu Mungu hayupo" hii haiwezi kuwa sababu, unatakiwa uandike umejuaje Mungu hayupo.
Lakini matumizi ya "nge" ni kuonyesha kushindwa katika hoja na kukosoa kadhalika. Sisi tutakuuliza umejuaje kama kutokuwepo kwa Mungu ni matokeo ya haya ambayo yapo na yanayo tokea ?
Nani amekwambia hafahamiki ? Wewe na wenzako ndio hamumfahamu. Bali anafahamika na ushahidi wa uwepo uko wazi kuliko ushahidi wa uwepo wako wewe, ndio maana huwa tunasema nyinyi hamna akili.
Hakuna kitu ambacho ushahidi wake uko wazi kuzidi ushahidi wa uwepo wa Mungu.
Anajificha vipi wakati yeye ndio anaendesha haya mambo na kufanya Dunia iwe hivi ilivyo.
Ni nyinyi peke yenu hamumjui sababu hamtaki kumjua na mnajifanya hamnazo.
Bila kifo dunia inge endelea kuwa na idadi ileile ya watu?
Nafasi ya kuishi kwa kila kiumbe inge patikana?
Ina onesha hata hukwenda shule.
Hukusoma na hujui mambo ya Population increase, Ecosystem, over population n.k
Unacho jua ni kuvaa kobasi na kukariri fiction stories za Quran.
Jibu maswali niliyo kuuliza.Quran ilisha haribu akili yako, huwezi kufikiri nje ya hapo.
Shida zikizidi tunamlaumu kila mtuWakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Tuletee na quotes za uhindu piaوَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِیَعۡبُدُونِ﴿ ٥٦ ﴾
•Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
Adh-Dhariyat, Ayah 56
Jibu hili hapa.
😂😂😂😂Mimi sio kinyago asa Mimi ni mtu...na watu wameprove kujua vingi kuliko Mungu wa biblia au wa Quran. Biblia inasema Mungu yupo mawinguni Ila kila Leo air Tanzania inapita mawinguni hatumwoni so inabidi mtafute Chaka lingine la kumzugaUkiishajua anapoishi utakuwa umelingana naye uwezo, kumbuka wewe ni kiumbe chake na huna uwezo wa kulingana naye ata kidogo..
Kinyago ulichokichonga hakiwezi kukutisha au kukuzidi maarifa.
Juu? Mbinguni? Ni wapi huko...mbona watu wanaenda space kila kukicha. Afu ni juu kutoka wapi Israel Arabia au AntarcticaTumeumbwa ili tumjue, tumpende na tumtumikie ili mwishowe,
tufike kwake juu mbinguni.
😂😂😂😂Kama ana fahamika mbona kila mtu ana Mungu wake. Hata katika dini moja kila mtu anamwelewa kivyake. 😂😂unajuaje anaendesha dunia umemwona? Amekuambia? Acha kuforce agency katika vitu ambavyo havina agencyVijana kueni kiakili na kufikiria, unaposema "Kwa sababu Mungu hayupo" hii haiwezi kuwa sababu, unatakiwa uandike umejuaje Mungu hayupo.
Lakini matumizi ya "nge" ni kuonyesha kushindwa katika hoja na kukosoa kadhalika. Sisi tutakuuliza umejuaje kama kutokuwepo kwa Mungu ni matokeo ya haya ambayo yapo na yanayo tokea ?
Nani amekwambia hafahamiki ? Wewe na wenzako ndio hamumfahamu. Bali anafahamika na ushahidi wa uwepo uko wazi kuliko ushahidi wa uwepo wako wewe, ndio maana huwa tunasema nyinyi hamna akili.
Hakuna kitu ambacho ushahidi wake uko wazi kuzidi ushahidi wa uwepo wa Mungu.
Anajificha vipi wakati yeye ndio anaendesha haya mambo na kufanya Dunia iwe hivi ilivyo.
Ni nyinyi peke yenu hamumjui sababu hamtaki kumjua na mnajifanya hamnazo.
Mi naona bado hujajibu swali, unaishi ili iweje sasa? Usipokuja/ishi duniani kipi kinabadilika?Fikiria pia kama kifo kisinge kuwepo,
Watu na wanyama si tungekuwa wengi sana kiasi kwamba kusingekuwa na Nafasi ya kuishi na kufanya makazi.
Yani tungekuwa tumejazana kama utitiri kiasi kwamba kusingekuwa hata na nafasi ya kupita au kujenga barabara.
Kila Kiumbe Lazima Kife, Ili Kiumbe kingine kipate Nafasi ya kuishi.
Rejea kifo cha Simba Bob junior aliye uwawa na simba wenzake ili wapate utawala, Sasa je Asingekufa hao simba wenzake wange ishi vipi?
juu zaidi palipo inuka sana,Juu? Mbinguni? Ni wapi huko...mbona watu wanaenda space kila kukicha. Afu ni juu kutoka wapi Israel Arabia au Antarctica
unagoma kuelewa tu,Mi naona bado hujajibu swali, unaishi ili iweje sasa? Usipokuja/ishi duniani kipi kinabadilika?
Ndomana kawaza vitu deep sana😁Mkuu acha kuvuta high grade
Ni kupitia yoga mkuu,you can break all attachments za kuanzia utotoni mpaka hapo ulipo. Utakuwa free man. Unaweza pia kuvunja zile mambo ya kurithishana ambazo huenda ukoo hadi ukoo..Issue ndio ipo hapo mkuu
Unawezaje kujitoa kwenye hizo attachments ili uweze kufikiria kwa akili binafsi
Na kingine hapo, unaweza kuwa una imani na Mungu 100% na pengine hutaki kuacha imani yako lakini Mungu anavyokuwa presented katika njia ambayo ipo somehow controversial kiasi cha kuzua migongano ya kidhehebu na kidini. Unawezaje deal na hili
You are right, umeletwa uishi ili usubiri kifo. Yaani wewe na mimi tupo hapa kweye foleni ya kwenda kuchomwa moto mbinguni na baba aliyetuumba, this according to imani za kuletewa toka Palestina na Israel ila wao wanaamua kuwahi foleni ya kuchomwa moto kwa kuuana through vita.Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Hapana, kwa mtazamo wangu "haujazima data" na swali lako ni zuri, inatakiwa na inapaswa kila mtu kujiuliza maswali kama hayo. Naamini aulizae ataka kujuwa.Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Ukija kujua kwanini wanadamu tupo duniani na nini hatma yake utakuwa mwenye mafanikio na furaha tele!Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah
Kifo kinafuta thamani ya maisha?Uishi wakati unasubiri kifo
Wakuu sorry
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu
Dah