KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,867
Nashindwa kuelewa kwanini wanaccm wanamchukia Rais Magufuli, na zaidi wengi wamekuwa wanafiki kwake, hata baadhi ya mawziri wake wanafanya kazi kwa unafiki na kumuogopa! lakini kiuhalisia hawapo upande wa Magufuli.Hata Lumumba harakati za chama hakuna! hata Ole Sendeka naye siyo tu kuwa anafanya kazi za chama ila hata yeye siyo chaguo lake.
Hata ukiangalia speed ya katibu mkuu kufanya ziara katika mikoa kuimalisha chama na kutafuta wanachama hakuna!au kukitangaza chama.
Kuna vitu vingi vimejificha hasa kwa wanaccm waliokuwa wakinufaika kwa mgongo wa ccm katika serikali nao wamenuna sana.
Lakini ni imani yangu Rais Magufuli atafika anakokutaka kwakuwa ni Rais na atakuwa na mamlaka zaidi akiwa Mwenyekiti wa chama.