joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,981
you sound homo lil broJosephina achana na windows sijui samsung. Wote watafilisika na kupotea
Apple ndio baba wa simu duniani
Fullstop!
@josephina_mmbeya
Acha kujibizana na magashoyou sound homo lil bro
wewe ni mwanaume mbona una act kama demu kaka mkubwa
Huyo pakunyea pakubwayou sound homo lil bro
wewe ni mwanaume mbona una act kama demu kaka mkubwa
kama ulifanikiwa kuzitumia naimani uli enjoy sanaLumia 950xl niliitamani sana hii simu, nikaishia 650.
With the diminishing interest and application development for the platform, Microsoft discontinued active development of Windows 10 Mobile in 2017, and the platform was declared end of life on January 14, 2020.Simu za windows, zilifungiwa lini na nani?
Hapana hawakuzifungia ila zilikuwa zinawatia hasara maana zilishindwa kushindana na android na apple ambazo zilikuwa zimetake over.Habari zenu wana JamiiForums,
Niende kwenye mada moja kwa moja, unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni kwanini walifungia window phone?
Nakumbuka kuna kipindi nipo shule kuna ndugu yangu mmoja alikuwa na nokia lumia ilikuwa ni window phone enzi hizo zinasupport kila kitu aise alikuwa anasumbua kinoma mtaani pale
ilikuwa ni moja ya simu nilikuwa naitamani sana.
Lakini nilipokuja Zanzibar kuna mitumba ya vitu vingi sana kama simu, radio za aina mbali mbali, magari na kadhalika
Kuna chimbo nilibahatika kuona window phones nyingi wanaziuza hapo nilichukua moja inaitwa microsoft lumia
Sio siri simu ni ya muda sana lakini ipo bomba sana ina camera nzuri, stereo speaker, fast charging, storage 16gb na sehemu ya memory card, RAM 1, Display. Type, AMOLED
Halafu kitu cha pekee ni camera yake simu ni ya muda sana lakini ina camera ambayo kuna simu za kisasa hazifikii
ONA BAADHI YA PICHA ZA LUMIA
View attachment 3119198View attachment 3119208View attachment 3119209View attachment 3119210View attachment 3119212
kabisaAcha kujibizana na magasho
Dude is so obvious, despite all the disguise, his dick can be seen swaying on everything he writes.you sound homo lil bro
wewe ni mwanaume mbona una act kama demu kaka mkubwa
kabisa kaka unajua hii window phone natumia jamiiforum na kuperuzi tu kwenye browser lakini naipenda kuliko maelezoHapana hawakuzifungia ila zilikuwa zinawatia hasara maana zilishindwa kushindana na android na apple ambazo zilikuwa zimetake over.
Lakini innovation yake flat interface ilikuwa ahead of time.
Umejua eeh kama ni men.you sound homo lil bro
wewe ni mwanaume mbona una act kama demu kaka mkubwa