Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,249
- 44,578
hivi hizi ni ndege tatu tofauti au ndege moja imebadilishwa rangi tofauti
Hesabu madirisha utpata jibu.hivi hizi ni ndege tatu tofauti au ndege moja imebadilishwa rangi tofauti
Kwenye ndege hii hii nimependa design na rangi zilizopo, labda tu kama wakiirudisha wajaribu kubadili rangi ya kijani hapo juu imekaa kama ile kijani ya bendera ya Afrika kusini.
Ndo hapo sasa.........! kwani hata hako kamoja wamekakodi,...Ndege zenyewe hatuna, tunawaza kubadili rangi. Ni sawa na kuchagua charger wakati simu huna...
Du....! Vipo vitu vingi vya kujadili lakini sio hili la rangi kwa halina mantiki yeyote cha muhimu ni je hizo ndege zinafanya kazi vizuri na faida ipo? Mengine hayo ya rangi ni umbea tu.
THINK BIG