Kwanini wakate umeme nchi nzima?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,712
Reaction score
4,989
Wanasema hitilafu kwamba ndani ya hayo masaa matano wamepata wametengeneza na kufunga kila kitu?

Hio hitilafu imetokea maeneo gani? Hao waangalia mitambo hawakujua tatizo hilo mapema ifike saa moja ukatike huo huo muda mtume na tanganzo? Mmmmh hii tanzagiza msijekuwa mmeingiza mamuluki wakutuua hio tarehe saba.

Kama mmezima umeme ili mpitishe silaha zenyu za mauaji mseme msije kutupiga za vichwa tena.
 
Ama kweli naelekea kuamini kuwa akili za wabongo zipo matakoni mwao wenyewe๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
nonsense ๐Ÿ’
 
Bahati yao jana simu yangu ilikua full charge tangu wamekata mpaka umerudi nipo hewani nasemaje kuna ya mama yake ungekata vile halafu simu yangu haina charge ningewafuata nikawatukane vizuri baadae simu ikikosa charge na umeme hamna nakosa amani kabisa rohoni na moyoni nahisi km shetani anabisha hodi motoni
 
TANESCO. Mtusaidie maana tulitangaziwa umeme utakatika asubuhi mpaka jioni, jioni umerudi ila tayari umeshakatika na wakati huo kuna tangazo kuwa kesho pia siku nzima hautakuwepo umeme
 
TANESCO. Mtusaidie maana tulitangaziwa umeme utakatika asubuhi mpaka jioni, jioni umerudi ila tayari umeshakatika na wakati huo kuna tangazo kuwa kesho pia siku nzima hautakuwepo umeme
Wapi huko?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ