Kwanini wafanyakazi wa mashirika ya umma hawako entitled na tax exemption TRA?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,051
12,954
Habari,

Wakuu naomba kujua toka kwa anaejua kwanini wafanyakazi wa mashirika ya umma hawako entitled na msamaha au punguzo la kodi toka TRA?

Najua wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mtaa wana tax exempt toka kwa mwajiri wao ambae ni serikali, je kwanini wa mashirika ya umma hawana huo upendeleo kwenye kodi hasa kama unaagiza kitu toka nje.

Sababu ya hii ni nini?
 
Labda coz wana mishahara mikubwa kuliko wa Serikali kuu,labda cz taasisi zao zinaweza kufanya biashara ,labda...
 
Back
Top Bottom