Kwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by STEIN, Dec 22, 2010.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya? maana nashindwa kuelewa ni kwa nini raisi wetu apate kura nyingi namna hii the tusipate mbunge hata mmoja ina maana walichakachua kihivyo hawa jamaa wabaya mno.

  Au ndio kusema mjomba watu wamemchoka sana.
  Napata hisia Dr. Slaa ni watu wengi sana walimpigia kura ila Miraji na kikundi chake cha IT wametuchakachulia.
   

  Attached Files:

  • nec.bmp
   File size:
   1.7 MB
   Views:
   86
 2. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Stein hawa jamaa walichakachua kwa hali ya juu, ukiangalia hiyo attachment ya matokea utagundua kuwa walishinda wabunge wa chadema, kwani haiingii akilini watu wachague raisi halafu mbunge waache. Waliiba kura japo hawataki kuambiwa kweli, Mungu atawahukumu, lakini sisi watanzania tutawahukuma kabla ya hukumu ya Mwenye enzi Mungu
   
 3. l

  limited JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  yap but in five years itakuwa ngumu kuchakachua sijui watakuja na mbinu gani
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka kwenye mdahalo alipouzwa Mh. J.J. Mnyika kajifunzaa nini toka 2005, alijibu kulinda kura na watu wakakubali kulinda kura, ndio maana sasa anwatumikia.

  Itabidi tuwatafute hawa wenzetu waliochakachuliwa kura tuwaulize wamejifunza nini. ili 2015 CCM watupishe tukaikomboe TZ yetu.

  Peoples POWER
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Angalia kura alizopata mgombea urais wa NCCR kwenye majimbo ambayo wabunge wake walishinda, halafu angalia nguvu kubwa iliyowekwa na serikali kupora ushindi wa CHADEMA majimbo kama Segerea, Kigoma mjini nk. Nashawishika kuamini kuwa NCCR walibebwa hasa nikihusisha mawasiliano ya kina Zoka.
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata hizo kura za urais na ccm zimeongezwa kwa makusudi.
   
Loading...