Air hostess wa bombardier za mhutuWanajamvi
Salaam;
Sijawahi kupost ktk hili jukwaa,lkn nimelazimika kufanya hivi leo kutokana na huu unafiki unaoendelea kuonyeshwa na watanzania.
Kilichonichukiza ni hiki kitendo cha kumsifia madame wema siku ya tuzo za wasanii zilizotolewa na Azam media.
Hivi kweli huu muonekano wa wema wa siku ile(km anavyoonekana pichani) unaweza kumsifia kuwa alipendeza!?? Km siyo unafiki ni nini!?? Yaani mtu alikuwa km shetani!!! We angalia tu hata kucha,hv ni binadamu gani anakuwa vile!??
Hivi mfano ndo unakutana nae porini,hata km umepitia mafunzo ya jeshi,lazima utimue mbio bila kugeuka...!!
Sina ugomvi nae,lkn sipendi unafiki. Ajitahidi kuvaa km binadamu. Asivae km kiumbe wa sayari nyingine.
Povu ruksa!!!!View attachment 738352
Kila mtu ana uono wake, ww ukiona hajapendeza wengine wana mtizamo tofauti na wako, mfano mm demu yyte akiwa na chura hata akivaa kaniki machoni kwangu kapendeza sanaWanajamvi