Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Kila siku wao ni kuandika habari za "kusikia" toka kwa wengine ni kwa nini hawaendi huko wenyewe na kufukunyua ili sisi watanzania kama taifa tujue nini kinaendelea huko?waanze BBC na "dochivele"
Kweli mkuu...Kila siku wao ni kuandika habari za "kusikia" toka kwa wengine ni kwa nini hawaendi huko wenyewe na kufukunyua kama taifa tujue nini kinaendelea huko?
Tatizo wanaweza kwenda huko kwa nia njema, lakini ghafla bin vuu "mamlaka" ikawaona ni wachocheziKila siku wao ni kuandika habari za "kusikia" toka kwa wengine ni kwa nini hawaendi huko wenyewe na kufukunyua ili sisi watanzania kama taifa tujue nini kinaendelea huko?
Kuwa mwandishi wa habari wa kujitegemea ni lazima uwe na chombo cha habari ambacho unapeleka habari zako.Ata wewe unaweza kwenda kama muandishi wa kujitegemea tu kama pascal mayalla na ukaja na data zako nenda tu
Wamekatazwa na nani?Wamekatazwa kwenda wameambiwa wakienda na wao wanahesabiwa kama wauaji
Mbona gazeti la mwananchi walienda na wakaleta walichokisikia hukoSehemu nyingi duniani kunapotekea mauaji ya watu iwe kwa ajali, vita, ama majanga ya kiasili, vyombo vya habari huwa ni watu wanaokwenda maeneo hayo kwa ajili ya kuhabarisha umma ni nini kinaendelea.
Tangu mauji ya Kibiti na maeneo yanayozunguka huko yaanze, kama taifa hakujakuwa na chombo chochote cha habari ambacho kimezitafuta habari za mauaji ama chanzo chake kwa kina na kuzileta kwetu wananchi.
Habari za Al Qaeda, Al shabab, vita vya Iraq, mambo ya IRA huko Ireland Kaskazini yote hayo dunia huyajua kupitia vyombo vya habari. Ni kwa nini vyombo vyetu vya habari mpaka sasa havijafanya juhudi za kutuletea habari za kina za kiuchunguzi kuhusu nini hasa kinachoendelea Kibiti?
Tuletee hapa JFKuwa mwandishi wa habari wa kujitegemea ni lazima uwe na chombo cha habari ambacho unapeleka habari zako.
Wanabana matu.imziKila siku wao ni kuandika habari za "kusikia" toka kwa wengine ni kwa nini hawaendi huko wenyewe na kufukunyua ili sisi watanzania kama taifa tujue nini kinaendelea huko?
Sehemu nyingi duniani kunapotekea mauaji ya watu iwe kwa ajali, vita, ama majanga ya kiasili, vyombo vya habari huwa ni watu wanaokwenda maeneo hayo kwa ajili ya kuhabarisha umma ni nini kinaendelea.
Tangu mauji ya Kibiti na maeneo yanayozunguka huko yaanze, kama taifa hakujakuwa na chombo chochote cha habari ambacho kimezitafuta habari za mauaji ama chanzo chake kwa kina na kuzileta kwetu wananchi.
Habari za Al Qaeda, Al shabab, vita vya Iraq, mambo ya IRA huko Ireland Kaskazini yote hayo dunia huyajua kupitia vyombo vya habari. Ni kwa nini vyombo vyetu vya habari mpaka sasa havijafanya juhudi za kutuletea habari za kina za kiuchunguzi kuhusu nini hasa kinachoendelea Kibiti?
Inajuaje Kama hawaendi???Kila siku wao ni kuandika habari za "kusikia" toka kwa wengine ni kwa nini hawaendi huko wenyewe na kufukunyua ili sisi watanzania kama taifa tujue nini kinaendelea huko?