Hivi vitabu vimefasiriwa kwa kiswahili na si vya asili ya hapa na ni kwa ajili ya watoto na ni maarufu hata kwa lugha nyingine pia kwa kifupi vitabu hivyo ni miongoni wa vitabu simulizi zake zinatengeneza mabilioni ya dola kwa kampuni ya Disney kwa kutengeneza filamu zitokanzo na simulizi hizo ukiondoa kitabu cha kusadikika ambacho ni cha mtanzania Shabani RobertNirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!
Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?
Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto
Mleta mada anatakiwa kujishangaa mwenyewe na si kushangaa vitabu.jaymoul, Vitabu vyote ulivyovitaja ni kwa ajili ya watoto, wewe unavisoma sasa umeshaota ndevu lazima utaviona maudhui yake siyo ya watu wazima.
Mimi nimevisoma vyote hivyo nilipokuwa kuanzia darasa la tatu: Bulicheka, Bibi Tarabushi na Kalumekenge darasa la tatu, Abunuwasi na Alfu lela u lela ni kuanzia darasa la nne na kuendelea. Lengo lilikuwa kukufanya upende kusoma vitabu. Kila ukienda darasa la juu unapewa vitabu vingine ambavyo ni vigumu kidogo kulingana na level yako, mfano:
Around the world in 80 days, Invisible man, Dr Jekyll and Mr Hyde vilikuwa vinakufanya ufikiri sana na kujaribu kuuvaa uhusika.
Sasa hivi Richard Mabala anajitahidi kuandika vitabu ambavyo vinakufanya upende kusoma.
Kusadikika ni kitabu kimetungwa na Shaaban Robert na kina maudhui ya ndani kabisa. Kama humuelewi SR basi wewe kiswahili siyo lugha yako.
Usifikiri utakurupuka tu ndiyo uanze kuwa mpenzi wa kusoma, lazima ile tabia ijengwe kidogo kidogo na kwa muda mrefu.
Huko mwisho umevuruga tu ,, nimesoma vitabu vingi wala sio kwamba me sio msomajijaymoul, Vitabu vyote ulivyovitaja ni kwa ajili ya watoto, wewe unavisoma sasa umeshaota ndevu lazima utaviona maudhui yake siyo ya watu wazima.
Mimi nimevisoma vyote hivyo nilipokuwa kuanzia darasa la tatu: Bulicheka, Bibi Tarabushi na Kalumekenge darasa la tatu, Abunuwasi na Alfu lela u lela ni kuanzia darasa la nne na kuendelea. Lengo lilikuwa kukufanya upende kusoma vitabu. Kila ukienda darasa la juu unapewa vitabu vingine ambavyo ni vigumu kidogo kulingana na level yako, mfano:
Around the world in 80 days, Invisible man, Dr Jekyll and Mr Hyde vilikuwa vinakufanya ufikiri sana na kujaribu kuuvaa uhusika.
Sasa hivi Richard Mabala anajitahidi kuandika vitabu ambavyo vinakufanya upende kusoma.
Kusadikika ni kitabu kimetungwa na Shaaban Robert na kina maudhui ya ndani kabisa. Kama humuelewi SR basi wewe kiswahili siyo lugha yako.
Usifikiri utakurupuka tu ndiyo uanze kuwa mpenzi wa kusoma, lazima ile tabia ijengwe kidogo kidogo na kwa muda mrefu.
Angalau ww umeongea kitu cha msingi labda hivo ndomana wanavisifiaNi kweli kuwa hivi ni vitabu vya watoto. Watu wanavisimulia na kuvikumbuka sababu vinawakumbusha mbali, na pengine kwa bahati mbaya hawakuwahi kusoma vingine toka wametoka shule.
Sasa unashangaa nini kwa hivyo vitabu vya watoto?Huko mwisho umevuruga tu ,, nimesoma vitabu vingi wala sio kwamba me sio msomaji
Andika vya kisasa vya kiutu uzima utuuzie !!Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!
Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?
Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto
Mazee wewe unadhani kila kitabu ni lazima kiwe na maudhui ya wakubwa?Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya mtu mzima!
Nimesoma vingi sana baada ya miaka mingi kuona humu JF watu wakivisifisia sana. Hivi vitabu au vimelenga wazee? Au me ndo akili ndogo?
Havijanivutia kabisa yaan ni vitabu vya kitoto