Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Mambo ya Simba yanakuhusu Nini wewe mtumwa uliozoea kumpigia muhindi magoti kila akitishia kuachia ngazi?
Muhindi wa EPA....Muhindi yupi?
Unadhani Mimi naongozwa na Akilimali?
Wako bize kuijadili Simba SC usajili wamemwachia Maximo awaletee mashemeji zake wa kucheza dakika 25 uwanjani bila kugusa mpira....HahahahaaaaaaaMambo ya Simba yanakuhusu Nini wewe mtumwa uliozoea kumpigia muhindi magoti kila akitishia kuachia ngazi?
ndugu yangu we tuache tu sisi tunachagua bora viongozi ila hans popo sio huu mhaini ila ndugu yake aliyekuwa jeshini
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusimamishwa na waandishi wa habari vihiyo kama Kivuyo. Wanasahau kazi waliyosomea wanajiingiza kwenye unazi wa vitimu vya hovyo hovyo...Hivi hawa mikia fc huwa wanawatoa Wapi viongozi wao?
Jana nilikua nacheki star TV habari za michezo,katibu wao somebody Ally Ally alienda pale makao makuu ya klabu kubwa zaidi hapa east Africa ,azam fc kukamilisha deal ya kiemba,ajabu baada ya kutoka pale ofisini akagoma kuongea na media huku akitaka kuvunja camera.
Kulikua na sababu gani ya vile wakati ishu ya transfer ni ya kawaida tu!!,alivyopanick as if anahojiwa kuhusu escrow.
alikufanya nini?ni huyo hanspope wa simba, acha kudanganya wewe!
Deo Corleone
Manj a.k.a "Fisadi Papa" vipi ataturudishia lini pesa zetu ya EPA? Au na yeye kinuka kama ESCROW?
Mosha ile michezo yake ya sisi tunapoingia kulala, ye ndo anaingia kazini kashaacha? Namuona siku hizi anabadlsha magari tu, inaonekana kazi inaenda vizuri.
Vipi kuhusu ile kesi ya "Mtoto Wa Mshua" kukamatwa na madawa ya kulevya China, inaendeleaje? Na vipi kashaacha hiyo biashara?
Mkuu povu linakutoka bila evidence
Unataka evidence gani?
Km rage kuescrow pale fat,marco masanja kufungwa miaka 200 kule china sbb ya sembe,pope kufungwa na nyerere,hassanol kunyea debe segerea,hivyo vitu jamii yote inajua,ss tuwekee ushahidi lini mosha alifanya kazi uliyotuambia,usipotuambia hapa bas ww mbumbumbu kweli km rage alivyotujulisha kuwa mikia wote ni mbu3
Suala la kusema ni lini itakua ngumu, ila kaa ukijua mwenyekiti wenu alikua mpigaji tena mzuri. Utaki unaacha. Kwa taarifa zaidi karibu Chalinze.
Deo Corleone
Manj a.k.a "Fisadi Papa" vipi ataturudishia lini pesa zetu ya EPA? Au na yeye kinuke kama ESCROW?
Mosha ile michezo yake ya sisi tunapoingia kulala, ye ndo anaingia kazini kashaacha? Namuona siku hizi anabadlsha magari tu, inaonekana kazi inaenda vizuri.
Vipi kuhusu ile kesi ya "Mtoto Wa Mshua" kukamatwa na madawa ya kulevya China, inaendeleaje? Na vipi kashaacha hiyo biashara?