Kwanini viongozi wa kisiasa wanataka waombewe kwani wao hawawezi kujiombea?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wadau naomba mnisaidie kufahamu Kwa nini Viongozi wa Kisiasa wanawataka Viongozi wa dini wawaombee wao ili waweze kutimiza majukumu yao.Kwani Wakijiombea wao wenyewe Mungu hawasikii? Mbona mambo yao binafsi wanajiombea?
 
Ningekuwa mimi ndiye askofu ningeitisha uhakiki wa vyeti vyao vya ubatizo kipaimara na ndoa na kama nikigundua ni feki nawapaka mafuta ya mpako mtakatifu kumaliza utata mapadre.na maaskofu tusaidieni tuhakiki vyeti vyao hivyo unakuta jitu jingine na seminari lilisoma halafu linatuomba sisi tulioko kilabuni tunakunywa balimi tuliombee yanajifanya machizi haya
 
Wanajua wanafanya mambo ya kishetani mf bwana yule

Swissme
 
Back
Top Bottom