King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,293
- 2,739
Kwanini viongozi wengi wa Afrika wamekuwa ving'ang'aniza wa madaraka. Ulaya viongozi wake wamekuwa sio ving'ang'aniza. Ukiangalia viongozi wa Afrika wamekuwa wakiwananga viongozi wa nchi za Ulaya kwamba msituchagulie mambo yetu, na ni hao hao wamekuwa wakwanza kuomba misaada huko ULAYA kuliko CHINA na ASIA............USAID, USAID na ni.k