Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,140 Reaction score 9,691 Jul 1, 2024 #1 Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Jul 1, 2024 #2 hii ni nchi ya kifalme. viongozi wapo above the law sheria ni kwa wajinga ambao hawataki kujishughulisha kujua haki zao ukihoji unashambuliwa kwa kuhatarisha amani ya nchi nchi ya matutusa
hii ni nchi ya kifalme. viongozi wapo above the law sheria ni kwa wajinga ambao hawataki kujishughulisha kujua haki zao ukihoji unashambuliwa kwa kuhatarisha amani ya nchi nchi ya matutusa
E EMACHA JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 956 Reaction score 1,780 Jul 1, 2024 #3 Teko Modise said: Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!View attachment 3030478 Click to expand... Badala ya kuchota kwa matajiri kuhudumia masikini, wao wanachota kwa masikini kunemesha matajiri..!
Teko Modise said: Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!View attachment 3030478 Click to expand... Badala ya kuchota kwa matajiri kuhudumia masikini, wao wanachota kwa masikini kunemesha matajiri..!
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,705 Reaction score 10,215 Jul 1, 2024 #4 Hii nchi watu hatujui vitu basic mpaka inaboa, Kutuma pesa kwa simu hakuna makato ya serikali, kwa mtu yeyote
Hii nchi watu hatujui vitu basic mpaka inaboa, Kutuma pesa kwa simu hakuna makato ya serikali, kwa mtu yeyote
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,386 Jul 1, 2024 #5 Mna uhakika ametuma, au mheshimiwa ameediti tu ujumbe wa Pesa ni Azam Pesa? Mtakuja kufa bure kwa kihoro siku moja. Ohoooo!
Mna uhakika ametuma, au mheshimiwa ameediti tu ujumbe wa Pesa ni Azam Pesa? Mtakuja kufa bure kwa kihoro siku moja. Ohoooo!