Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Yupo hoiAliyeivunja na kuwakumbatia hao 19 sasa hivi anahitaji katiba mpya.
Taja kifungu cha katiba cha CHADEMA ambacho kilivunjwa? unashabikia watu wavunje sheria za nchi kufoji kisa wamekupa kitu kdg uwatete JF?Naunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.
Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?.
P
Aliyekuita njaa hakukosea aliona mbali sn sisi ndiyo tulikuwa hatumuelewi tulikuwa tunakutetea kumbe sisi ndiyo tulikuwa wajinga alijua baada ya muda njaa itapanda kichwani utakatwa mkia.Naunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.
Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?.
P
Mifumo yetu ovu na ufisadi ndiyo tatizoWaafrica ni vigumu mno kufuata haya yale waliyokubaliana, hii inanzia ngazi ya kaya na inapanda hadi ngazi ya taifa. Ngozi nyeusi sisi tuna matatizo kwa ujumla wetu, tukubali tu na ndiyo maana weupe wanazidi kutuacha.
Acha kutetea Ujinga wa kuvunja KATIBA ya Nchi Katiba ambayo Viongozi WALIAPA KUILINDA kwanini Bunge lisitimize Takwa lake la KIKATIBA kuwafukuza Bungeni na kama Chadema haikuwafukuza kihalali Waliofukuzwa Waende Mahakamani Wakapinge KUFUKUZWA kwao na Wakishinda watarudishwa BungeniNaunga mkono hoja. Vyama vya siasa, viko kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Na uanachama wa chama cha siasa nao ni kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni. Vyama vinaposajiliwa huwasilisha katiba zake kwa msajili na vinapaswa wakati wote vifanye mambo yake kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni zao walizojiwekea na sio kuendeshea mambo yake kihuni huni.
Hivyo hata kwenye kuwafuta wanachama wake uanachama, lazima katiba sheria taratibu na kanuni zifuatwe, huwezi kumfuta uanachama mwanachama kwasababu ambazo sio za msingi. Na ukiwa na sababu za msingi za kumfuta uanachama, fuata katiba sheria taratibu na kanuni. Katika hili sakata la wabunge 19 wa Chadema, jee katiba sheria taratibu na kanuni za Chadema zimefuatwa?
Ili mwanachama afukuzwe ni lazima mambo 3 haya yatokee.Acha kutetea Ujinga wa kuvunja KATIBA ya Nchi Katiba ambayo Viongozi WALIAPA KUILINDA kwanini Bunge lisitimize Takwa lake la KIKATIBA kuwafukuza Bungeni na kama Chadema haikuwafukuza kihalali Waliofukuzwa Waende Mahakamani Wakapinge KUFUKUZWA kwao na Wakishinda watarudishwa Bungeni
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ila kinga ya kuwajibishwa na Mungu ndio hawana!Bahati nzuri watawala wote wamejiwekea kinga za kutoshitakiwa milele