Yaping Xi Laan
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,261
- 2,481
Hao wangu hawakuwahi kuwa wapenziunajua kabla ya kuwa wapenzi kunakuwa urafiki?
kweli kabisa mkuu, me Nakuchukia sana ukianza kulialia kama totojinga kisa mapenzi. Ukiachwa bora hata uungane na bwashe min -me kwa zenye shingo ndefu.Mm siwaz mapenz nikiachw sawa kwan bia c ipo napig zang mbil namsahau.Usiweke akil yako kwenye mapenzi utaumia.kwanza hilo la kulia eti umeachwa huo n upuuz.kwanza ukija kwangu kunielezea hiyo tarajia mbat za kutosh shenz sn.
Nani kaachwa wewe kiazi?kweli kabisa mkuu, me Nakuchukia sana ukianza kulialia kama totojinga kisa mapenzi. Ukiachwa bora hata uungane na bwashe min -me kwa zenye shingo ndefu.
Yupo chaputakwa hiyo Mbaga Jr huna mpenzi kabisa na hujawah
npo baa napg safari lagerkweli kabisa mkuu, me Nakuchukia sana ukianza kulialia kama totojinga kisa mapenzi. Ukiachwa bora hata uungane na bwashe min -me kwa zenye shingo ndefu.
Ila bia iwepoSiku zote ukitaka kuenjoy mahusiano kua upande wa nakupenda pia.
Hata akijivuruga wala uwazi na maisha yanasonga
tulia mkuu, nilikua naulizia mitungi inaweza kupunguza maumivu ya wanaolialia kisa kuachwa???Nani kaachwa wewe kiazi?
burudan au tayar ushaachwa.npo baa napg safari lager
Nshaachwa naona bora njiunge na wanachaputa.burudan au tayar ushaachwa.
Nyeto sai ndoh mpang mzimopps!! we Mbaga Jr usizidishe kunyetu, utapunguza utamu.
ila tafadhari usizidishe, mwenzako kwa mwaka mara1. secretarybirdNyeto sai ndoh mpang mzim
Nyeto ni chanzo cha hekima na maarifa.ila tafadhari usizidishe, mwenzako kwa mwaka mara1. secretarybird
kama ndo ivo, basi ngoja niongeze kipimo, mara 4 hivi kwa mwaka inatosha?Nyeto ni chanzo cha hekima na maarifa.
na hapa sisi vijana, watoto wetu ndo inatakiwa tuwalee vizuri na kwenye mazingira mazuri.Yote maisha..
Watu wamelelewa tofauti..
Wengine experiences zao ktk maisha zimewafanya wawe makatili..wasiojali hisia za wengine tena...
Bora akuache na maumivu, utapona...ila asitoe uhai wako..lol..kama yule muandishi Zanzibar kuuliwa na boyfriend kwa kweli inashangaza...