ndo maana kuna formal and informal language inategemea na social context nitumie lugha ipi kapate somo la stylistic wewe....mnataka hadi jf tufwate kanuni ka naandika barua kwa boss haaaa mtatuua nyie xaxa!
angalia nini kimemaanishwa usiangalie nini kimeandikwa!utaachwa ufe ndani ya maji kwa ubishi wa kutaka mtu aongee badala ya ishara hata kama hatari i karibu yako.kwani tatizo liko wapi?we mwache atumie "xaxa" we tumia "sasa"ilimradi ujumbe umefika na umeelewa nini kimemaanishwa.
Bora wao, kuliko wewe unaejifanya unajua kumbe hujui. Badala ya heruei kubwa mwanzo wa sentesi wewe umeweka ndogo.. Ama kweli nyani hacheki [color=#ff000]kundule lake[/color].
Ni wajinga tu wachache kama wewe ndio watatetea huo ujinga mtu anaandka "co" badala ya "so" na "xixi" badala ya "sisi" ni stylistics gani uliyofundishwa wewe? Labda kama ulifundishwa na mwalimu wa voda fasta aliyepata E ya english advance.
Hebu fuatilia comments za wazungu kwenye english wanaweka lugha imenyoka na kama ni kifupisho ni kile ambacho kinakubalika sio hawa washenzi wanaandika si kifupisho wala nini ila ni kuharibu lugha tu

Hizo herufi zao zimenifanya nisimtumie binamu yangu hela ya mahafali,
eti kaandika
"xaxa kaka utanitumia lini hela ya mahafali"?
Acha visingizio si useme kuwa ulikuwa hauna kitu...ukamtafutia sababu..
binam wako wa kike au wakiume?
Kitoto kimoja nimekitongoza juzi tena kizuri nikawa najua nimepata mchepuko wa maana alivyo anza kuniandikia huo upuuzi wa xaxa sijui nini, nikapiga chini hapo hapo yaaani sijajibu msg hata moja na simu nimeblock kabisa
hanna cha kuoka muda wala kufupisha..maana xaxa na sasa zote zina herufi tano, xo na so zote mbili n.k....wanaboa tu