Salvatory Mkami
Senior Member
- Apr 17, 2013
- 146
- 244
Kila kukicha Dawa nyingi zinazogunduliwa tunaambiwa zinaongeza nguvu za kiume.
Swali la msingi,
Je, wanawake wao hawana matatizo husika au hawahitaji dawa ya kuongeza nguvu za Mwanamke?!
Swali la msingi,
Je, wanawake wao hawana matatizo husika au hawahitaji dawa ya kuongeza nguvu za Mwanamke?!