Kwahiyo ninyi mlio oa mna mahela sana eeh.
Mnadhani hatuwaoni mtaani mnavyoishi na familia zenu ?.Wengi wenu mlikurupuka tu na sasa ivi mnajutia maamuzi yenu ya kijinga.Mnazaa na kuvitesa viumbe visivyo kuwa na hatia.
Unakuta mtu anaishi na mke wake na watoto wawili lakini cha ajabu anashindwa hata kuipatia familia yake balance diet.
Watoto wanakula mboga za majani kila siku kama vile hakuna vitu vingine vya kula.