Hata mimi pia sijapata mdada anaenipenda, karibia kila mdada ninaemtongoza baada ya mda mfupi ananiomba hela 🥹 Miss Natafuta @To yeye Ms Rbinti kiziwiCute Wife
Mie juzi tu mtoto kaja kusimama mvua kwa shop, Eeh bana si kimasihara nikaomba namba kakatoa haka kafesti yea😀😀 basi sikutaka kuzunguka baada ya stor mbili tatu nkasema naomba niulipie muda wako kakajibu fresh! Ila nomba nilipie 35000 ya bima, nilipie na kiatu pale dukani nilipokukuta coz nilikipenda japo sikujaribishaa😄😄🚮 kwa staili hii niache nibaki singooo
Mnadhani hatuwaoni mtaani mnavyoishi na familia zenu ?.Wengi wenu mlikurupuka tu na sasa ivi mnajutia maamuzi yenu ya kijinga.Mnazaa na kuvitesa viumbe visivyo kuwa na hatia.
Unakuta mtu anaishi na mke wake na watoto wawili lakini cha ajabu anashindwa hata kuipatia familia yake balance diet.
Watoto wanakula mboga za majani kila siku kama vile hakuna vitu vingine vya kula.