mimi kiukwel cpo cngle ila nataka nijitahidi niwe cngle kama nitaweza, sababu zamimi kutaka kuwa cngle nihuyu mpenz wangu anaongea sana nanimgomv sana yaan akikuta text yamcchana kwasimu yangu inageuka vita, atanikwida namimi huwa ckubali dem anikwide hapo ndipo vita inapoanzia, nimeshampiga sana nayeye alishaniuma meno sana ila sasa nahisi nimechoka ninavyoona nitakuja kumuumiza au hata kumuua kabisa niende jera bure, sasa nataka niwe cngle2
Hahaaaaa kapyungu umenikosha kweli kweli, yaani mnaanza vizuriiiii na siku zinasonga ila siku akiingizia tu beb naomba 50,000 ya saloon unatoka ndukiiiii