Kwanini upo single?

Hivi humu yupo binti wa kifipa? si rafiki sana wa social networks,sijui mko wapi.Ni pm please
 
Kwa sababu nilizaliwa SINGLE (hatukutoka mapacha)
 
Imani- Dochi fleva ft Ali Kiba
Alichepuka na millionea flani ...Na hawakudumu
Niliapa kutopenda...Mwaka mmoja unaelekea sasa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…