Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Mlelajr

Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
95
Reaction score
80
Hii ni kwa wale walio single kama mimi, nadhani kila aliye single ana sababu zake za msingi zinazompelekea awe single. Kuna wanaopenda kuwa hivyo na wasiopenda.

Kwa kila aliye single aeleze sababu zinazompelekea yeye kuwa hivyo na yawezekana ukapata suluhisho hapa.

Tukianza na mimi
Nipo single sababu sijampata msichana sahihi anayenifaa
 
Back
Top Bottom