Kwanini upo katika mahusiano!?

Mahusiano yako mengi ila kwa asilimia kubwa ya yanayoongoza ni mahusiano ni ya mapenzi...Sasa kama huoni umuhimu wa kuwa na mpenzi kwa kijana mjasiri na rijali ntakushangaa...unauliza swal gan hilo!
Ndio mabusiano yako mengi but pia nimeuliza ndio kuhusu mapenzi. So issue sio lijali or gay but hapa issue ni expectations zako ndizo naobgelewa unatarajia nini toka kwa hayo mahusiano!? Pia mwanaume hasifiwi uanaume wake kwa kufanya ngono na wanawake wengi bali kuwa na mmoja kati ya wengi.
 
Daa sijui kwanini nipo, ila she said she loves me, na ni kweli sometimes ananifurahisha sana, nafikiri this is the reason.

Love is all what we need!
 
Kawaida ni kama sheria , kawaida ni kama mifumo ya watu walioizoea na ukitaka kuuliza sana ,jibu hutopata

Mahusiano huanza kwa hisia ambazo mara nyingi ni kama matamanio pengine usiyoyaelewa na baadae akili hutumika kama future inaangaliwa

mahusiano kwangu nayaona kama mfumo ,Mahitaji binafsi na future yangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa sijui kwanini nipo, ila she said she loves me, na ni kweli sometimes ananifurahisha sana, nafikiri this is the reason.

Love is all what we need!
Kama ni upendo y kuna folen nyngne za mahusiano
 
Kila kitu kinajibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…