Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Ila kiukweli ngono haina faida yyte zaid ya kutaka kusifiwa tu kwamba wewe ni kidume
Ukitaka kujua kwamba ngono si kitu jitazamane baada yakumaliza kale kwa kwanza jinsi unavojilaumu kwann umepoteza muda wako kusex na mtu halafu hujapata kitu chochote
Asanteh wewe mjanjaWaulize Wazazi Wako Kwann Wako Kwenye Mahusiano Naona Unauliza Ujinga Ujinga
Sijasema nata kukutoa but nimeuliza lengo kuu baadae ni niniMimi nipo kwa ajili ya kula papuchi!.......kwenye papuchi hunitoi ng'oo!
Tofautisha ndoa na mahusiano... Kama mahusiano ni ndoa basi watu wasingekuwa wanatafuta kubarikiwa.Waulize Wazazi Wako Kwann Wako Kwenye Mahusiano Naona Unauliza Ujinga Ujinga
Then ukishayapata what elseMahitaji ya mwili
Mbna unajitetea hvyoMm sipo
Mkuu Mahusiano Ndio Mmwanzo Wa Kupanga Kuishi Pamoja Labda Ungeuliza Je Upo Kwenye Mahusiano Ya Namna GaniTofautisha ndoa na mahusiano... Kama mahusiano ni ndoa basi watu wasingekuwa wanatafuta kubarikiwa.
huwa mnaongea kijumla jumla saa nyingine kama mnaimiliki miili ya wengine. Jesus lives in me nimtendeje uovu mkuu namna hii?Acha kufanya miezi sita uone kama ni muhimu au lah,.. Unaweza data
nafsi inatulia,Then ukishayapata what else
Una hakika nafsi inatulia coz sex ni mchezo ambao hauna mshindi... Pia ni kitendo cha muda mfupinafsi inatulia,