Rais huyu anataka asifiwe ajisikie vizuri,
Rais huyu anataka ake front page za magazeti ajisikie vizuri,
Rais huyu hataki mabaya yake yasemwe,
Rais huyu anapenda tamko lake ndio liwe sheria,
Rais huyu anakiburi na anajiona yeye ndio Alfa na Omega,
Rais huyu anamatukio mengi ya kuigiza,
Rais huyu anatangaza amani huku ameficha upanga,
Rais huyu ni wa ajabu na hajawahi tokeo na hana hekima na busara.