Kwanini ununue Malaya wakati Wanawake wamejaa mtaani kwako?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,729
Reaction score
13,748
Wakuu
Kuna mambo yanafikirisha sana,mwanaume rijali,misuli imenyooka kama mimi, unakwendaje kununua malaya?

Katika maisha yangu huwa naona bora nikamatwe na mke wa mtu kuliko kudharirisha utu wangu kwa malaya ambaye unajua kabisa huyu ametoka na mwanaume mwingine na nikitoka pia atakuja mwanaume mwingine, ni upumbavu gani huo mpaka unanunua?

Shahawa,harufu,kujidharirisha,kushusha thamani ya mwanamke(unamnunua),mikosi na magonjwa yasiyotibika yanaweza kuwa ni miongoni mwa hasara za kununua malaya.

Huu ushenzi huwa siutaki na stajaribu kununua malaya.

Tubadilike.
 
Wakuu
Kuna mambo yanafikirisha sana,mwanaume rijali,misuli imenyooka kama mimi, unakwendaje kununua malaya?

Katika maisha yangu huwa naona bora nikamatwe na mwanafunzi au mke wa mtu kuliko kudharirisha utu wangu kwa malaya ambaye unajua kabisa huyu ametoka na mwanaume mwingine na nikitoka pia atakuja mwanaume mwingine, ni upumbavu gani huo mpaka unanunua?

Kweli mi nakinyaa ila mke wa tu na mwanafunzi tena? Hawa nawaogopa kama ukoma.
 
Katika maisha yangu huwa naona bora nikamatwe na mwanafunzi au mke wa mtu kuliko kudharirisha utu wangu kwa malaya ambaye unajua kabisa huyu ametoka na mwanaume mwingine na nikitoka pia atakuja mwanaume mwingine, ni upumbavu gani huo mpaka unanunua?
Kwahiyo Emmy,kumbe huyo mke wa mtu anakuwa hajatoka kulala na mwanaume na ukishalala nae haendi kufanya na mume wake??
 
Wakuu
Kuna mambo yanafikirisha sana,mwanaume rijali,misuli imenyooka kama mimi, unakwendaje kununua malaya?

Katika maisha yangu huwa naona bora nikamatwe na mwanafunzi au mke wa mtu kuliko kudharirisha utu wangu kwa malaya ambaye unajua kabisa huyu ametoka na mwanaume mwingine na nikitoka pia atakuja mwanaume mwingine, ni upumbavu gani huo mpaka unanunua?

Shahawa,harufu,kujidharirisha,kushusha thamani ya mwanamke(unamnunua),mikosi na magonjwa yasiyotibika yanaweza kuwa ni miongoni mwa hasara za kununua malaya.

Huu ushenzi huwa siutaki na stajaribu kununua malaya.

Tubadilike.
Hao unaosema malaya ndo haohao unaowasifia Kwamba ni wake za watu au wanafunzi.
 
Wa mtaani kwangu unajuaje kama nae sio malaya!?

Malaya wapo official na wale wa kisiri siri, anadanga na watu hawajui...

Ukiona mali umeipenda, inakufaa kwaatumizi ya KIBINA'ADAMU rula nayo, ikiweka pesa mbele, mwaga mchuzi ukonge roho, vyovyote itakavyoliwa pesa lazima ikutoke.
Aidha umnunue ama umhudumie.
Kwani huyo mke wa mtu hutamzingatia?
 
Angalau unajua mnashare na mwanaume mmoja tu, though binafsi hata huyo mmoja naona kinyaa tu.

Wanaonunua wana moyo wa chuma, inahitaji ujasiri sana.
Sasa huyo mke wa mtu kama amefikia hatua ya kukutunuku unajua amewatunuku wangapi?? Ndio maana bora malaya unayemjua utachukua tahadhari kuliko malaya usiyemjua .

Ila kama ulivyosema, ni namna tu akili inavyoamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom