Kwanini unaogopa kufa?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,653
Reaction score
4,758
]HAKUNA ASIYE AMINI KAMA KUNA KUFA...YAANI KUFA NI LAZIMA...HATA KWA WALE WASIO AMINI MAISHA BAADA YA KIFO...KWAO HILO HALINA MJADALA...[/B]

Lakini watu wote tumeingiwa na woga sana juu ya kifo...

SWALI: NI KWANINI UNAOGOPA KUFA...?
JE, UNAOGOPA HUJUI UNAPOKWENDA..?

UNAOGOPA KABURI...?

UNAOGOPA ULICHOACHA...?

TUJADILI HEBU.
 
WOGA wa kukaa mwenyewe kwenye ule msanduku na unafukiwa hakuna hata mwanga halafu unawaza kuacha washkaji wakifaidi.
WIVU wa kuwaachia washkaji wafaidi mashamba, mjengo, ndinga, waifu, mpenzi,(mchepuko), mshiko kwenye account n.k.
 
Kwa sababu sijui ninakoenda pakoje.
 
Kuishi ni kristo kufa ni faida binafsi nilikua naogopa sana kufa kabla sijamjua kristo na kua na uhakika na maisha ila baada ya kumpokea Yesu ktk maisha yangu nimekua na furaha sana siogopi chochote in short am very happy.
 
MIMI NAAMINI ALIYE NIUMBA NA KUNILETA HAPA DUNIANI NDIYE ATAKAYENIFISHA...

NAOGOPA KUKUTANA NAE...KWASABABU SINA HAKIKA KAMA LENGO LA KUNIUMBIA NIMELITEKELEZA IPASAVYO...
 
Kuishi ni kristo kufa ni faida binafsi nilikua naogopa sana kufa kabla sijamjua kristo na kua na uhakika na maisha ila baada ya kumpokea Yesu ktk maisha yangu nimekua na furaha sana siogopi chochote in short am very happy.
Tamani kufa baci...uepuke dhahama za dunia...
 
Kifo sio cha kutamani huo ni wajibu uwe unataka au autaki cha msingi ni kujiandaa wakati unao faa na wakati usio faa safar ikifika unaenda ukiwa na uhakika.
Tamani kufa baci...uepuke dhahama za dunia...
 
Hakuna mtu yoyote anaejua alipokuwa kabla hajazaliwa. Hakuna mtu yoyote anaejua atapokua baada ya kufa. Mimi nadhani ukifa unarudi ulipokua kabla ya kuzaliwa- unatoweka! Hizo nyingine ni hadithi za kufikirika tu..
 
Kuogopa kufa ni kuogopa kuishi. Ingawaje Mungu ametuumba na survival instinct za kukiogopa kifo ili binadamu wasiishe Duniani. Imagine kama binadamu asingekuwa anakiogopa kifo? Leo hii Dunia nzima wangekuwa wamebaki watu laki 2 tu.
Mungu mjanja sana. Kifo ni illusion tu of the mind.
 
Hapana...

Kuna nyakati ukiwaza kifo unaingiwa na uwoga...

Kuna nyakati unaona hata ukifa sawa tuu...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…