Kwanini unamchukia microsoft edge! !

Na kumbuka hata edge inatumia v8 engine ambayo ni open source ya Google. So technically waliamua kupita na technology ya Google
 
Ina news mbazo sio za lazima, search engine yao ya bing sio powerful
 
Jamiiforums kwenye simu ukitumia edge iko vizuri sana, inakubali kuset font size, tofauti na chrome ambayo inabadili heading pekee.
 
Jamiiforums kwenye simu ukitumia edge iko vizuri sana, inakubali kuset font size, tofauti na chrome ambayo inabadili heading pekee.

Hakuna news zozote hapo, inategemea wewe mwenyewe tu.
 
M
Natumia Edge kwenye laptop na desktop na chrome kwenye handhelds.
 
Microsoft edge ni nzuri kwenye pc. Huwa wanakuwa na wallpaper za background nzuri zikiwa na news na habari tofauti kabla ya kuanza kuresearch wanazi update

Ukija kwenye Chrome kea pc ni mbovu hazina mvuto
 
Duuh me hata sijui ni kwanini siipendi.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…