Kwanini unaishi Dar es salaam?

Wafanya biashara wakubwa wanakuja dar kufunga mizigo ndo wapeleke huko mikoani, halafu ntu aseme dar mnang'ang'ania nini kweli? kama sababu ni maisha magumu, hebu tumchukue anayeishi maisha magumu mkoani na anayeishi maisha magumu dar yupi anaunafuu?, hata ulaya wapo wanaoishi maisha magumu lakini kila mtu anatamani afike ulaya
 
Wewe unaona pabaya kwa sababu uliishi Darsalam(Kwamtogole, Mburahati, Kwa bi Nyau, Kwamkunduge(Tandale), Kwa tumbo au uwanja wa Fisi, Kwamnyamani, Kisemvule). Lakini wale wanaoishi DAR(Masaki, Slipway, Penninsula, Oysterbay, Kenyatta Drive) hata hawalalamiki kama wewe. Ushauri wangu kwako. Tafuta pesa hakuna dagaa wa nyama. Dagaa ni dagaa😀😀😀
 
Kunywa UJI nalipa
 
Siku tatu kabla mnyapaaa, aisee hilo la ten,ukija mitunduruni unajizolea mamitoghoo,mamungunya,sasati,
Daslama ten nasikia unakula tu cha mchana na hapo haikutoshi kuweka japo mafuta ya gari
 
Usidhani Dar yote Ni kuchafu mm nimeishi pale na Wenda nikaziamisha biashara zangu Huko mbeleni uko
 
Siku tatu kabla mnyapaaa, aisee hilo la ten,ukija mitunduruni unajizolea mamitoghoo,mamungunya,sasati,
Daslama ten nasikia unakula tu cha mchana na hapo haikutoshi kuweka japo mafuta ya gari
Sasa mbona mchele Dar es salaam ni bei rahisi kuliko Dodoma? Mbona Daslam maji yanapatikana kuliko Dodoma?
 
Pale kijitonyama makumbusho mtaa wa bwawani jirani na soko la makumbusho siku hizi pamejaa watu wana shughuli nyingi sawa na kariakoo. Ilibidi tuhamie nje ya jiji huko chanika mbali kijijini ili kuondoka kwenye msongamano wa watu hapo makumbusho. Nyumba yenyewe haina hadhi ya kuwa eneo hilo itabidi tuiuze kama ploti tuondoke hapo twende kwenye sehemu isiyo na watu wengi. Dar ina kero nyingi kuliko starehe. Twendeni dodoma tukaijaze mpaka manyoni.
 
Mzunguko wa pesa ni mkubwa,ila mateso ni mengi kuliko raha.....mtu anaamka saa 10 alfajiri kuwahi kazini anarudi nyumbani saa 6 mpaka 7 usiku hajaoga hajala anakuja kulala saa 8 kesho tena anaamka saa 10 lini atapata kutuliza akili wanaoishi maisha mazuri ni wenye pesa na sio wabangaizaji.
 
nakazia mkuu
 
Chaos is a ladder,the climb is there all is, Dsm is a chaos.
 
Raha Karatu tu muda wowote unarusha nyoka tu.na vimiminika kila kona mitetea ya kumwaga kiwango cha Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…