Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

20211219_202239.jpg
 
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.

Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?

Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.

Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Achana nae KARMA itamnyoosha tu jipe muda tu utaona kitakacho mpata
 
Karibu kwenye chama letu pendwa No fap challenge
Utakuja kunishukuru
 
Wa tumbo moja tu hatuaminiani,inakuwaje unamuamini mtu tena mwanamke from another mother,wanawake wengi wao washavurugwa hivyo wanapoza maumivu kwa kulipa visasi kwa wengineo watakaojibebisha kwao,nakushauri penda ila usitue mabegi vinginevyo utaishia kujuta na kumlaumu aliyeleta mapenzi.
Ingekuwa bora akuzalie mtoto ndipo umugharamie hayo yote,pole sana ndugu ila mmh inauma sana.
 
Aiseeh na kweli ujue mkuu, mama yangu alinishauli usimuamini mwanamke mwenye mtoto aliyetendwa,huwa anaamini kulipa tu kisasi hata kwa ambae ajamtenda..
 
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.

Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?

Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.

Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Mapenzi ni ufala ila fala wewe unatuwakilisha vyema
 
Back
Top Bottom