Ama kweli kosa atende mwanamke akifanya mwanaume linakua sio kosa. Sina maana kua natetea ufirauni la hasha . Mimi nadhani ni vema kuwa mwaminifu hasa kwa mwanaume nae ajiulize je yeye tangu amchumbie huyo mrembo, je yeye ni mwaminifu na kama si mwaminifu basi amsamehe mwenzie si ndio maisha wanayoishi siku hizi vijana . Jiulize je wewe uyatendayo sirini yakiletwa hadharani je utakua jasiri na utaiazama jamii bila haya au unashindwa tu kumsamehe dada kisa tu wewe hujafumaniwa.
Kama na kijana ni mwaminifu basi huyo dada hafai kuolewa nae, asubiri Mungu atampa alie wake.