Habari
Maisha yanaenda Kasi sana siku hizi pesa imekuwa muhumu na ya lazima kwenye Kila kitu lakini upatikanaji wake umekuwa mgumu sana kupelekea biashara ya mikopo kuwa biashara inayofanya vizuri Kwa Sasa kwani uhitaji wa pesa ni WA lazima.
Suala la kukopa Lina faida na hasara hususani kama haujui au hauna matumizi hususa ya pesa uliyokopa lakini pia kukopa katika taasisi isiyoaminika. Leo nakuletea sababu za KWANINI UKOPE na faida Gani utapata pindi ukikopa na wapi UKOPE
Zifuatazo ni sababu za KWANINI UKOPE.
1. Gharama za kitaaluma au ada za shule
Kwa Sasa Elimu ni muhimu na ya lazima ma watoto wanaonyesha utayari wa kusoma licha ya kutokuwa na ajira. Gharama za kitaaluma kama ada ya shule zipo juu sana na watu WENGI huamua kukopa kitu ambacho huwa ni sahihi kwani Elimu ni muhimu.
2. Biashara
Hii ni sababu kubwa ya watu kukopa
Attach files
kwani kupitia biashara, mtu unaweza kupata faida na kurudisha deni ulilonalo na kubaki na mtaji. Sababu kuu inayofanya watu WENGI hususani wafanyabiashara kukopa ni kama vile kuongea mtaji, kununua vitendea kazi lkn pia kulipa mishahara wafanyakazi, kutanua soko, kwenda na ushindani wa soko na zaidi ya yote kununua au kugharamikia bidhaa mpya iliyopo sokoni
4. Afya
Afya ndio mtaji wa kwanza katika maisha ya binafamu pindi mtu anapokosa afya yupo tayar kugharamikia Kwa namna yeyote. Siku hizi gharama za matibababu zipo juu sana hivyo huwalazimu watu kukopa ili kuweza kugharamikia matibababu au kukata BIMA ya afya
4. Ujenzi wa nyumba.
Malazinau sehemu ya kuiahi ni muhimu na ya lazima lakin pia gharama za ujenzi huwa ziko juu na hivyo kufanya watu kuchukua mkopo. Uamuzi huu ni WA busara kwani kukopa pesa Kwa ajili ya kununua au kujenga nyumba ni uamuzi mzuri kwani nyumba ni asset isyoisha thamani.
5. Gharama za kilimo
Kwa watanzania kilimo ni muhimu sana lakini gharama za kulima kilimo Cha kisasa zipo juu sana na hili huwafanya watu kukopa.
6. Sababu zingine
Kuna sababu nyingi sana za watu kukopa, sababu zingine ni kama vile kugharamikia ndoa kugharamikia sikukuu au likizo ununuzi wa viwanja au mashamba.
ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KUKOPA KWA WAKULIMA AU WAFANYABIASHARA
1. HUSAIDIA uanzishaji ukuzi na upanuzi wa biashara.
Kuanzisha biashara huhitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na mkopo huweza kusaidia kupata mtaji. Katika ukuzi wa biashara kuna gharama nyingi zinazohitajika kama vile ukodishaji wa chumba au jengo la biashara.
2. HUSAIDIA kwenda na ushindani wa soko
3. HUSAIDIA kutatua matatizo ya dharura
JE WAPI UNAWEZA PATA MKOPO
Taasisi za kifedhabkama benki na microfinance huwa Zina wajibu wa kutoa mikopo pia Zina leseni Toka benki kuu ya Tanzania BOT
MOJA ya taasisi inayoaminika Kwa kutoa mikopo Kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma ni platinum credit
Kwa mawaailiano zaidi ni 0686153806 Whatsapp