Kwanini ukiwa hauna pesa unadharaulika?

Together as One, Kati ya vitu vinavyomfanya mtu aonekane kuwa ni mtu wa hadhi ya juu ni pamoja na pesa/utajiri. Unajua hata kama una elimu kubwa halafu pesa huna bado utadharaulika tu katika jamii!?

lakini kama huna elimu halafu una pesa utaheshimika na kuonekana mtu wa hadhi ya juu kuliko msomi asiye na pesa.
 
Hivi mkuu unakuwaje msomi alafu ushindwe kupata pesa? Make ninacho jua ukishakuwa msomi unajua kutumia mazingira kutafuta pesa kwa maana unatatua shida za watu na hapo ndoo Kuna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa wengi inakuwa ni kutokujiamini kunakopelekea kujiona kama anadharauliwa!!
 
Sometimes huanzia kwa watu wakaribu hata Mimi hua najidharau sana pindi nikiwa sina pesa hata mwendo hubadirika utanigundua tuu
 
Yaan sku hz ukiwa hauna hela hata mtoto mwenye miaka 2 anakudharau ,ushahid nnao
 
Hehehehe hujui wewe, kama huna pesa hata ndani ya familia unaonekana mkorofi na msumbufu..... Ikitokea kikao hupewi kipaumbele cha kuchangia mada, unaonekana unataka kuwaharibia mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Zesh. umenichekesha sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasoma comment mpaka naburudika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…