Inawezekana ni mbinu fulani na ya kijinga ya Ccm kuwakandamiza ukawa...rejea ishu ya kiwanja cha taifa & jangwani katika pilika za uzinduzi wa kampeni.
We kijana ya Gikombaa unatafuta nini kipande hii...mlishamalisana na ile skando ya Euro 30 Million ya Anglo-Leasing Finance? Au Uhuru naye anasema "Its our turn to eat"?
The biggest problem ya UKAWA n EL, ndo maana yule fisadi mwingine anapiga kampeni kwa nguvu kuliko EL, na anataman EL ashindwe malizia ngwe akabidhiwe yeye mikoba
Viwanja vya michezo havichukui watu wengi kama viwanja vya wazi, acha kujitoa akili. Ukawa wanajiamini ndio maana wanatumia viwanja vya wazi kwa kuwa umati ule huwezi kuuweka katika viwanja vya michezo watu watakanyagana. CCM hawana ubavu wa kujaza viwanja vya wazi ndio maana wanakimbilia viwanja vya michezo. Hata Jangwani siku ile waliminya jukwaa ili ionekane pamejaa, akaja Rais mtarajiwa (Lowassa) uwanja ukatapika. CCM has no guts to compare with Lowassa anyhow!