Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,384
Biashara kichaa hii inahitaji ujitoe akili kwanza, yani ujifanye fyatu
😁😁😁😁😁Kuna jamaa mmoja kwenye group la what's app akaleta hii mambo watu wajiunge kwa laki 3 utapata faida laki 1 papo apo alafu baada ya Miezi sita unanunua gari
Akaulizwa swali
1. Unajua gharama ya kununua gari
2. Je tukichukua laki 1 mara sita tuna pata laki ngapi na je inaweza nunua pikipiki
Alianza kuwa mkali vibaya mno akajitoa kwenye group
Naona na wewe unataka mkokoWako wa Tanzania wanaotumia laki kwa siku kwenye kula tu!! Kama umechagua kua maskini na kushindwa kununua kitu usitake na wengine waungane na ww. Kiti kua ghali suluhisho sio kuacha kununua suluhisho ni kuongeza mkondo wako wa kipato ili uweze kumudu gharama.