Hivi unaelewa maana ya prospectus au unaandika tu vitu ambavyo hata hauvijui ili kusudi tu uonekane unakishusha hadhi chuo? bila shaka Elimu yako itakuwa darasa la saba ila unajaribu kujifanya kuwa na wewe unaijua udom
Mkuu ni bora ukauliza kuliko kuropoka na kuchafua chuo!!UDOM ina prospectus na kila mwaka inafanyiwa mabadiliko kuendana na uhitaji na soko la ajira lilivyo!!na kila mwanafunzi akifika chuo anapewa hard copy yake sidhan kama vyuo vengine wanafanya hivyo!!hakuna chuo kisichokuwa na prospectus! !
Ni vyema ukauliza na kuomba msaada wa wazoefu walokutangulia chuo wakutumie
Mkuu inabidi mvute subira TCU bado yaendelea na mchakato wa kuchagua wanafunzi (4th round) nadhan ndo mana chuo kimetulia kwanza mpaka kipate majina kamili ndo wataachia!!