Kwanini tusiwe na Vyama Vitatu tu vya Siasa?

Jamani hebu tuseme ukweli, lakini kwa utulivu... Hii nchi tuna vyama 19 vya siasa na wengine wanataka kuvifikisha 30! 😳

Nimekuwa nikijiuliza tu, kwanini tusibakize vyama vitatu vya maana—vitatu tu lakini vyenye meno, misuli na ushawishi?

1.Kimoja cha mrengo wa kulia,
2.Kimoja cha mrengo wa kushoto,
3.Kimoja cha katikati (wasiojua wako wapi 😅)

Kisha tukaruhusu wagombea huru – wale wasiofungamana na chama lakini wana nguvu mitaani na moyo wa kizalendo.

📲 Namna ya Kupunguza Vyama sasa:
Hii itafanyika kwa uzalendo na teknolojia. Tunaanzisha mfumo wa kisasa kabisa:

Kila Mtanzania anajisajili kwa kutumia namba ya NIDA na kuchagua chama chake kupitia:

1.Simu (USSD),
2.Kompyuta,
3.Ama stationaries/vituo vya huduma vijijini.

Baada ya usajili:
Tunasema Mfano labda Chama kisichofikisha wanachama 5,000,000 kwa kitaifa na 10,000 kwa angalau mikoa minne kinapewa kadi ya njano...

Kikiwa kimelala hadi muda wa mwisho – kinapewa kadi nyekundu (kimya kimya hakipewi tena ruzuku wala taarifa kwenye TV).

Wanachama wake wanaarifiwa wachague chama kingine ama wawe huru.

💸 Kwanini Hii Inahitajika?
1.Kupunguza gharama ya ruzuku kwa vyama visivyo na mvuto wala sera.
2.Kuhimiza vyama vianze kushindana kwa sera, si kutegemea bendera na nembo za msajili.
3.Kujenga mfumo wa siasa wa kueleweka: wananchi wajue tofauti ya chama A na B, si A na A’ ambayo ni kivuli chake.
4.Kukomesha siasa za "vijisentiko" – chama kinapokea milioni halafu kinafanya mkutano wa wanachama 7, wanne wakiwa ni jamaa wa mwenyekiti. 😂

🤷🏽‍♂️ Siyo Sera Rasmi, Ni Fikira za Mtaani Tu... Lakini?

Najua wapo watakaosema huu ni udikteta kwa kivuli cha utaratibu. Lakini jamani, kwa mtu anayejali kodi yake na mustakabali wa taifa, si bora udikteta wa hoja kuliko uhuru wa matapishi ya kisiasa?

✍🏽 Tuanzishe Mjadala:
Je, Tanzania ina vyama vingi sana visivyo na mchango?
Je, mfumo wa wanachama kwa NIDA unaweza kusaidia kuchuja pumba kwenye kisiasa?

📌 #VyamaVitatu #SiasaZaMaendeleo #UkweliKwaUcheshi
Nakubaliana na wewe. Inaweza kupungiza vurugu na ruziku.

Hili CCM hawatalikubali kwa sababu hivi vyama ndiyo mwavuli wao. Wanajificha huko kudanganya mataifa ya nje Tanzania kuna demokrasia.
 
Kweli Tanzania tuko na vyamq vingi vya siasa visivyo na mchango wowote.hili wazo ninzuri ila iwekwe wazi km Tanzania kuna chama ambacho hakipo tayari kuachia madaraka na kinajivunia kuwa na mamilion ya wanachama waliojisajiri kidigitali.

Nachokiona hapa tukiwa na mfumo wa kidigital wanachama wanajisajiri kwa chama husika kupitia nida zao kuna uwezekano mkubwa tukapata watu wengi wanaishi katika mfumo wa uchawa coz leo kuna mamilion ya Watanzania wameaminishwa ili mambo yasiwe mengi kwenye mfumo wako wa maisha ya kila siku embu jichanganye upande fulani.

Hizi ***** ***** za baadhi ya watu wanaopingana na hizo fkra moja ya sababu inawapa nguvu ni kukosekana mfumo rasmi wakutambulika ndio utakuta kuna watu wengi hata mtaani wanaduku duku wakianza kuzitoa wanawambia majirani "usinirekodi" .

Mimi nafkiri tupime tena kuhusu maswala ya kisiasa ikitupendeza kwa manufaa ya nchi kulinda amani yetu na vingine vingi twaweza hata baki na Chama kimoja tu. Itakuwa rahisi kupata nguvu yakumweka na kumtoa tunaemtaka km raia kupitia chama hicho hicho maana tutabaki na hoja za manufaa ya Taifa tu sio manufaa ya chama tena
 
Vyama vyote vya upinzani vinaweza kuungana tukawa na vyama vikubwa viwili tu CCM na kingine kama ukawa.
 
Jamani hebu tuseme ukweli, lakini kwa utulivu... Hii nchi tuna vyama 19 vya siasa na wengine wanataka kuvifikisha 30! 😳

Nimekuwa nikijiuliza tu, kwanini tusibakize vyama vitatu vya maana—vitatu tu lakini vyenye meno, misuli na ushawishi?

1.Kimoja cha mrengo wa kulia,
2.Kimoja cha mrengo wa kushoto,
3.Kimoja cha katikati (wasiojua wako wapi 😅)

Kisha tukaruhusu wagombea huru – wale wasiofungamana na chama lakini wana nguvu mitaani na moyo wa kizalendo.

📲 Namna ya Kupunguza Vyama sasa:
Hii itafanyika kwa uzalendo na teknolojia. Tunaanzisha mfumo wa kisasa kabisa:

Kila Mtanzania anajisajili kwa kutumia namba ya NIDA na kuchagua chama chake kupitia:

1.Simu (USSD),
2.Kompyuta,
3.Ama stationaries/vituo vya huduma vijijini.

Baada ya usajili:
Tunasema Mfano labda Chama kisichofikisha wanachama 5,000,000 kwa kitaifa na 10,000 kwa angalau mikoa minne kinapewa kadi ya njano...

Kikiwa kimelala hadi muda wa mwisho – kinapewa kadi nyekundu (kimya kimya hakipewi tena ruzuku wala taarifa kwenye TV).

Wanachama wake wanaarifiwa wachague chama kingine ama wawe huru.

💸 Kwanini Hii Inahitajika?
1.Kupunguza gharama ya ruzuku kwa vyama visivyo na mvuto wala sera.
2.Kuhimiza vyama vianze kushindana kwa sera, si kutegemea bendera na nembo za msajili.
3.Kujenga mfumo wa siasa wa kueleweka: wananchi wajue tofauti ya chama A na B, si A na A’ ambayo ni kivuli chake.
4.Kukomesha siasa za "vijisentiko" – chama kinapokea milioni halafu kinafanya mkutano wa wanachama 7, wanne wakiwa ni jamaa wa mwenyekiti. 😂

🤷🏽‍♂️ Siyo Sera Rasmi, Ni Fikira za Mtaani Tu... Lakini?

Najua wapo watakaosema huu ni udikteta kwa kivuli cha utaratibu. Lakini jamani, kwa mtu anayejali kodi yake na mustakabali wa taifa, si bora udikteta wa hoja kuliko uhuru wa matapishi ya kisiasa?

✍🏽 Tuanzishe Mjadala:
Je, Tanzania ina vyama vingi sana visivyo na mchango?
Je, mfumo wa wanachama kwa NIDA unaweza kusaidia kuchuja pumba kwenye kisiasa?

📌 #VyamaVitatu #SiasaZaMaendeleo #UkweliKwaUcheshi
That comes automatically with time... si kwa kupanga ....ni jamii inaji sort yenyewe kupitia falsafa ya survival of the fittest
 
Nchi gani duniani yenye mfumo wa vyama vingi ina vyama vitatu tu? Je, kufanya hivyo, demokrasia ipo wapi?
 
Itasaidia pia kupunguza machawa
 
Nchi gani duniani yenye mfumo wa vyama vingi ina vyama vitatu tu? Je, kufanya hivyo, demokrasia ipo wapi?
Ulaya wanatumia mfumo huo. Na imesaidia kuondoa vyama vinavyosubiria ruzuku na kugombanisha wananchi.
 
Jamani hebu tuseme ukweli, lakini kwa utulivu... Hii nchi tuna vyama 19 vya siasa na wengine wanataka kuvifikisha 30! 😳

Nimekuwa nikijiuliza tu, kwanini tusibakize vyama vitatu vya maana—vitatu tu lakini vyenye meno, misuli na ushawishi?

1.Kimoja cha mrengo wa kulia,
2.Kimoja cha mrengo wa kushoto,
3.Kimoja cha katikati (wasiojua wako wapi 😅)

Kisha tukaruhusu wagombea huru – wale wasiofungamana na chama lakini wana nguvu mitaani na moyo wa kizalendo.

📲 Namna ya Kupunguza Vyama sasa:
Hii itafanyika kwa uzalendo na teknolojia. Tunaanzisha mfumo wa kisasa kabisa:

Kila Mtanzania anajisajili kwa kutumia namba ya NIDA na kuchagua chama chake kupitia:

1.Simu (USSD),
2.Kompyuta,
3.Ama stationaries/vituo vya huduma vijijini.

Baada ya usajili:
Tunasema Mfano labda Chama kisichofikisha wanachama 5,000,000 kwa kitaifa na 10,000 kwa angalau mikoa minne kinapewa kadi ya njano...

Kikiwa kimelala hadi muda wa mwisho – kinapewa kadi nyekundu (kimya kimya hakipewi tena ruzuku wala taarifa kwenye TV).

Wanachama wake wanaarifiwa wachague chama kingine ama wawe huru.

💸 Kwanini Hii Inahitajika?
1.Kupunguza gharama ya ruzuku kwa vyama visivyo na mvuto wala sera.
2.Kuhimiza vyama vianze kushindana kwa sera, si kutegemea bendera na nembo za msajili.
3.Kujenga mfumo wa siasa wa kueleweka: wananchi wajue tofauti ya chama A na B, si A na A’ ambayo ni kivuli chake.
4.Kukomesha siasa za "vijisentiko" – chama kinapokea milioni halafu kinafanya mkutano wa wanachama 7, wanne wakiwa ni jamaa wa mwenyekiti. 😂

🤷🏽‍♂️ Siyo Sera Rasmi, Ni Fikira za Mtaani Tu... Lakini?

Najua wapo watakaosema huu ni udikteta kwa kivuli cha utaratibu. Lakini jamani, kwa mtu anayejali kodi yake na mustakabali wa taifa, si bora udikteta wa hoja kuliko uhuru wa matapishi ya kisiasa?

✍🏽 Tuanzishe Mjadala:
Je, Tanzania ina vyama vingi sana visivyo na mchango?
Je, mfumo wa wanachama kwa NIDA unaweza kusaidia kuchuja pumba kwenye kisiasa?

📌 #VyamaVitatu #SiasaZaMaendeleo #UkweliKwaUcheshi
CCM hawawezi kukubali kuishi bila pandikizi.
 
Ccm hawawezi kukubali ujinga huo na hawako tayar kusikia hilo
 
Kweli Tanzania tuko na vyamq vingi vya siasa visivyo na mchango wowote.hili wazo ninzuri ila iwekwe wazi km Tanzania kuna chama ambacho hakipo tayari kuachia madaraka na kinajivunia kuwa na mamilion ya wanachama waliojisajiri kidigitali.

Nachokiona hapa tukiwa na mfumo wa kidigital wanachama wanajisajiri kwa chama husika kupitia nida zao kuna uwezekano mkubwa tukapata watu wengi wanaishi katika mfumo wa uchawa coz leo kuna mamilion ya Watanzania wameaminishwa ili mambo yasiwe mengi kwenye mfumo wako wa maisha ya kila siku embu jichanganye upande fulani.

Hizi ***** ***** za baadhi ya watu wanaopingana na hizo fkra moja ya sababu inawapa nguvu ni kukosekana mfumo rasmi wakutambulika ndio utakuta kuna watu wengi hata mtaani wanaduku duku wakianza kuzitoa wanawambia majirani "usinirekodi" .

Mimi nafkiri tupime tena kuhusu maswala ya kisiasa ikitupendeza kwa manufaa ya nchi kulinda amani yetu na vingine vingi twaweza hata baki na Chama kimoja tu. Itakuwa rahisi kupata nguvu yakumweka na kumtoa tunaemtaka km raia kupitia chama hicho hicho maana tutabaki na hoja za manufaa ya Taifa tu sio manufaa ya chama tena
Naam nimekuelewa mkuu haya ni maigizo tu kwakweli
 
Ile ya ukawa ingeendelea ingekuwa nzuri
Kuiondoa CCM madarakani, kuliponya Taifa, haki za binadamu wote kuheshimiwa itahitajika muungano kama ule wa ukawa, ukiungwa mkono na wanaCCM wengi ambao hawaungi mkono haya yanayoendelea sasa hivi.
 
Hivi vyama vilivyopo vinaonekana ni vyama shikizi tu kwa ccm. Bora viwe vitatu tu vya wahafidhina, waliberali na mrengo wa kati ili kusiwepo na siasa za kukomoana
 
Back
Top Bottom