habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Kumtimua je napo unasubili nini?,au napo hataki?Heshima kwenu mabibi na mabwana
Nimezaliwa nimekuta wanasema mapenzi ni uchafu, sawa
wengine wanadai mapenzi ni uchizi, sawa
wanaenda mbali zaidi kudai mapenzi ni upofu nk
Misemo yte hii imesimama na haina shaka kwani INA ukweli mwingi ndani mwake,
Swali:
Km kweli twapendana, kwann twapangiana sehemu za kushikana na kuchezeana tukiwa kitandani? Wengine hata mpo pahala tu mmekaa mwapiga story za hapa na pale ukijaribu kumgusa anakwambia hebu tulizana bwana mbona hivyoo? Sijisikii vizur na sababu zingine nyingi zinazofanana na hizo
Ninyi watu tatizo linatoka wapi? Si mifupa ktk mifupa yangu na nyama katika nyama zangu, Kwanni tupangiane?
Kushikwa chuchu hutaki,
Kupapaswa hutaki
Kubadilishana mate hutaki
Kushikwa mashine hutaki
Kutaniwa na kukimbizana kidogo hutaki
Kaaa mkao huu, hutaki
Kigoli kimoja tu viwili, hutaki
Kwann upo kwangu na masharti kibao? Umetumwa?
Wapenzi wa aina hii mwakera kuliko hata mafuriko ya darisalama. Badilikeni
Hahahaha mkuu Eli79 heshima kwako,habari ya hapa, nakuelewa sana. Kipindi hiki cha mvua lazima ukatae kupangiwa[emoji16]
Tuvumiliane mkuuMvua inanyesha sana jamani
Kwa hili Niko tayariUpimwe mkojo kwa uchochezi wa kijinsia
Bado namwangaliaKumtimua je napo unasubili nini?,au napo hataki?
Aiseee mkuu ulijuaje yote hayoKuna jamaa mmoja alikua anajifanya bingwa wa madem ofisini..kuna siku kalibeba kurumbembe la ofisini kumbe hafanyi kitu mpaka atiwe dole..ndio wewe? si hutaki akupangie pakushikaa? bado zamu yko
Kabla ya yote una mwanamke anae kufanyia hivyo???Heshima kwenu mabibi na mabwana
Nimezaliwa nimekuta wanasema mapenzi ni uchafu, sawa
wengine wanadai mapenzi ni uchizi, sawa
wanaenda mbali zaidi kudai mapenzi ni upofu nk
Misemo yte hii imesimama na haina shaka kwani INA ukweli mwingi ndani mwake,
Swali:
Km kweli twapendana, kwann twapangiana sehemu za kushikana na kuchezeana tukiwa kitandani? Wengine hata mpo pahala tu mmekaa mwapiga story za hapa na pale ukijaribu kumgusa anakwambia hebu tulizana bwana mbona hivyoo? Sijisikii vizur na sababu zingine nyingi zinazofanana na hizo
Ninyi watu tatizo linatoka wapi? Si mifupa ktk mifupa yangu na nyama katika nyama zangu, Kwanni tupangiane?
Kushikwa chuchu hutaki,
Kupapaswa hutaki
Kubadilishana mate hutaki
Kushikwa mashine hutaki
Kutaniwa na kukimbizana kidogo hutaki
Kaaa mkao huu, hutaki
Kigoli kimoja tu viwili, hutaki
Kwann upo kwangu na masharti kibao? Umetumwa?
Wapenzi wa aina hii mwakera kuliko hata mafuriko ya darisalama. Badilikeni
Ndio mkuuKabla ya yote una mwanamke anae kufanyia hivyo???
Basi uyo anashida zake binafsi alafu inaonesha ana aibu sanaNdio mkuu
Anakera mpaka nawaza kumwacha