Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

Mkanda wa Jeshi la Polisi una rangi gani.
 

Umetisha xn mkuu!!!
Nimejifunza vitu ving xn hapa lkn bila kusahau kuwa asilimia nying za wadau humu wana jibu vitu hata kama hawana elimu nalo so inanipa shaka kubwa kuwa hata nyuzi nyingi zinazopandishwa humu na kujadiliwa bas hujadiriwa kwa Mihemuko na sio ujuzi wa kile kilichoandikwa!!!
LAAM RASHID kaleta maada ambayo haina siasa ndani yake lkn watu wanajibu kama vile wajuzi xn kunbe hawajui kitu so Nakupa pongezi mkuu kwa jinsi ulivojibu hata kama mimi sina ujuzi na hicho ulichokijibu lkn umejitahid kujibu swali lililoulizwa na sio kama wengne humu!!!
 
Hiyo bendera ya jeshi hupandishwa wap?
 
Hio bendera ya jeshi sijawahi kuiona....inapandishiwa wapi mkuu na mimi niione japo mara moja
 
Wabongo wengi wamezoea ushabiki, kuelezea mambo wasiyoyasoma. Wanadhani kujua sheria ni jukumu la Wanasheria tu.
 
Hapo sawa mkuu nimekupata safi kabisa coz hata mm nilikuwa cjui hyo
 
Huwa inapandishwa wapi? Kwahiyo usiku nchi huwa inatawaliwa kijeshi?
 
He wanted to belittle the other guy but ended up writing broken English. He wanted to sound sarcastic by mocking the other fellow, but instead he becomes a laughing stock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…