Kwanini tumpuuze Dr. Slaa na Mwakyembe?


Mkuu kwakweli ni shida, raia analalamika ufisadi, serekali nayo haijui mamlaka yake matokeo ni kuja kwa wananchi kulalamika!. Wananchi tuliitegemea selekali ichukue hatua na siyo kulalamika. Alafu eti hao wasiojua mafisadi wanafanywa nini wanataka tuwachague!!!.... Kweli inaingia akilini??
 
Mkuu watu wanaficha ushahidi wa kumtia hatiani huyu wanayemwita fisadi Lowasa ili kuogopa serikali isianguke au nchi kuigawanyika wakati huo huo wakipinga Lowasa asipewe nchi.
Yaani ni unafiki,unafiki,unafiki
WATU WA PWANI WASEMA MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA HASIMAMI SASA TUTASIKIA MENGI KWA DR. SLAA KUENDELEA KUSEMASEMA KWAKEUmoja wa vyama vinavyounda UKAWA wameamua kumjibu Slaa huku mgombea akipewa nafasi ya kunadi ilani ya UKAWA kazi kweli kweli.
Askofu Gwajima akihubiri kutokea Ubungo kwenye kanisa lake la ufufuo na uzima,huku akinukuu maandishi ya gazeti la nyakati na kusema hatazungumza chochote kuhusu Dr Slaa, Lakini siku ya Jumanne kesho tarehe 08/09/2015 saa nane mchana anategemea kuongea na Waandishi wa habari wa vyombo vyote kwa saa moja na Nusu.
Habari ya mujinu ni kumuanika Slaa ... tega sikio. msikilize Saed Kubenea mgombea Ubunge wa UKAWA jimbo la Ubungo anavyo mchambua Slaa na Mwakyembe nyumbani kwao Mwakyembe. (Jimbo la Kyela).[video]https://www.facebook.com/231144003562410/videos/1034136646596471/[/video]
 
Kama waliotajwa hawahusiki, wamjibu dr slaa.



Silent means yes.


Ukimya wao unaonesha kukubali kilichosemwa na dr slaa.


Naheshimu aliyosema dr slaa, sina imani na lowassa.

Aseme zile ahadi za nyuma ya pazia walizokubaliana na rostam na karamagi nibkwa faida ya nchi au uswahiba wao waliomchangia fedha za kampeni
 
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ibara 52 (3) Katika utekelezaji wa madaraka yake, Waziri Mkuu atatekeleza au kusababisha utekelezaji wa jambo lolote au mambo yoyote ambayo Rais ataagiza kwamba yatekelezwe


Ibara 53 (2) serikali ya Jamhuri ya Muungano chini ya Rais, ndiyo itakuwa na uwezo wa wa kufanya maamuzi juu ya sera ya serikali kwa jumla na Mawaziri chini ya uongozi wa waziri kuu, watawajibika kwa pamoja bungeni kuhusu utekelezaji wa shughuli za serikali ya jamhuri ya muungano
 
Saed Kubenea kamaliza kila kitu majuzi huko Kyela nyumbani kwa Makyembe. Tafuta speech yake youtube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…