Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,460
Kila ukipiga simu unakutana na hili tangazo '"Unatakiwa isajili namba yako kwa alama za vidole kabla ya tar 31/12 la sivyo laini yako itafungiwa"
Kwanini nguvu kubwa imewekwa kututangazia tukasajili line kwa alama za vidole badala kuwekeza nguvu huko NIDA maana jamaa naona wako Slow sana.
Mimi tangu 2016 nilijaza form na kupiga pcha sikupata, 2017 tena sikupata
na mwezi uliopita tena nimepiga picha tunasubiri walisema Novermber hii ila bado bila bila
kwa mantiki hadi December zaidi ya robo tatu watakuwa hawajasajiliwa