Kwanini tumekimbilia kusajili line kwa alama za vidole kabla hatujawapatia watanzania wengi vitambulisho vya uraia?

Statesmann

JF-Expert Member
Jul 16, 2019
2,344
3,460
Kila ukipiga simu unakutana na hili tangazo '"Unatakiwa isajili namba yako kwa alama za vidole kabla ya tar 31/12 la sivyo laini yako itafungiwa"
Kwanini nguvu kubwa imewekwa kututangazia tukasajili line kwa alama za vidole badala kuwekeza nguvu huko NIDA maana jamaa naona wako Slow sana.

Mimi tangu 2016 nilijaza form na kupiga pcha sikupata, 2017 tena sikupata
na mwezi uliopita tena nimepiga picha tunasubiri walisema Novermber hii ila bado bila bila

kwa mantiki hadi December zaidi ya robo tatu watakuwa hawajasajiliwa
 
Kwasababu watu wengi wanatumika na mabeberu,hawataki kuunga mkono juhudi,tumejenga reli ya umeme,tumejenga bwawa kubwa la umeme,elimu bure,lakini watu hawana shukrani wanatusema vibaya vibaya tu,hawataki kuona maendeleo na kuyasifia,wanatusema vibaya vibaya,matusi na masengenyo mitandaoni yamejaa,
sasa ili tuwanase vizuri,tumefanya hivyo,ili mwakani wakati wa kampeni ukiongea vibaya tu,NDANI.....
 
Watafunga watz wote?
hapo ndio unaposikia lori la mafuta limeanguka alafu wewe unaenda kupita na mshumaa umewaka ili kuhakikisha kama ni petrol kweli jibu utalipata kwa kilio bila msaada
 
Nafikiri kuhimiza watu kutoa fingerprints ni muhimu sana kwa jamii
Sababu kubwa ni kutambua mambo mengi kama uhalifu na hata mauwaji yanapotokea
Waathirika pia kama waliobakwa alama za vidole hubaki pia na hiyo kurahisisha mtuhumiwa kudakwa mapema

Huenda naweza kuwa nimewaza tofauti lakini ukweli unaweza kuwa huo
Wenzetu wana data za mamilioni ya watu katika kumbukumbu zao hivyo kufanya kuwakamata wahalifu haraka

Wengine wamefika mbali hata ukifanya kosa la barabarani kwa uendeshaji mbovu, police wanachukua mpaka mate
Dunia inaenda kwa kasi na sisi tunajivuta
 
Nimeenda ofisi za tigo mara mbili kufuatilia registration wanaishia kusema hakuna mtandao.

Siendi tena.
 
Back
Top Bottom