Paprika..!! ujue nn, Jukumu zima tumemwachia msanii,, yeye ndo funding source, mtunzi, mwigizaji, director,cjui producer.. apo lazima atunge upumbavu,, Sanaa ya utunzi ni proffession inayojitegemea kabixa bila hata kumuhusisha mwigizaji, na inasomewa kama fani nyingine zozote,,
Je ni wangapi ambao ni proffession kwa kusomea darasan hapa TZ kwa kibarua icho?? Mi naona tutibu mizizi matawi yatachanua tu..